RPC Kilimanjaro, hawa wanatumwa na nani? Epusha kadhia hii

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Mh Afande mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro natumain umzima wa Afya. Baada ya salamu niende kwenye MADA.
Barabara ya kutoka Njiapanda kuja mjini ni barabara iliyojaa Trafiki wengi sana kwa hili nakupongeza maana pia ni barabara inayotumiwa na wahalifu wengi hasa wa biashara za magendo.

Sikitiko kuna baadhi ya Askari wanashirikiana na wasafisha magendo hayo mathalani madawa ya kulevya aina mirungi mjda SI mrefu tutakupatia mtandao ulivyo unavyosukwa kuanzia rombo kufika mpka Moshi na Arusha Ili liko jikoni linaiva.

Pili Mh Afande ni Ili ambalo limekuwa KERO kubwa sisi watumiaji wa barabara hii na limetokea Sasa hivi lakini limekuwa kama SHERIA maana wanalifaya kira uchwao

Kituo kimoja kabla ya kufika mdawi ukitokea njia panda Kuna Askari wa kiume na kike happy yaani Trafiki Hawa watu wanasimamishia magari miguuni mwao yaani ukifika hapo mtu anakuja na kukwambia ingiza gari pembeni.mi moka kutoka mguu make je SHERIA ilo hivi?

Pili unalazimishwa dreva kushuka kuwafata maana akismamisha gari hakagui gari yeye anatoka nduki kurudi kwenye kibanda umfate yeye kibandani ukifika pale Hana la kusema ana omba leseni. SHERIA inanitaka Mimi nishuke nimfate aliye nismamisha au yeye anatakiwa akague gari akimaliza aomne leseni?

Tatu, wamesimamisha gari nyingi za shato na haice madreva wa haice na shato na Makonda waonwanashuka na kuwafa Kila mmoja na noti ya elfu mbili ukiuliza ni za Nini wanawapa hawana majibu swali ni kuwa jao matrafiki wanakusanya buku mbi Kwa Kila haice na shato za kufanyiwa Nini? Ni malipo ya Nini zinazoemda hapo kibandani? Tafadhali sana tunaomba utupe majibu sisi WANANCHI wako.

Hatujapenda kuweka picha za hao hao Askari wetu Kwa sababu za kulinda vibarua vyao lakini tunaomba waonywe jamani nnchii itajengwa na sis Kwa kurizika na kidogo tulichonacho unapendekeza njaa kutoka kwa watu wa hali ya chini Hawa ni kuatarisha Usalama wa nchi yetu. Trafiki wetu lizikeni na kidogo mchachokipata lizikeni na kidogo mnachokipata hao mnao wapiga viela vidogo hivi Iko Siku watachoka msike kuwalaumu.
Naomba kuwasilisha ila nakuonya Wewe Trafiki uliyeismamisha shato na kupokea buku mbili video Yako ipo hapa ukoleta mdomo naitupia Ili liwe funzo.

Nina wasi wasi pia Kuna mtu kawekaa kibandani Kwa ajili ya kupokea RUSHWA ndogo hii Tafadhali kama upo kibandani hapo jua hauko salama.
 
🤣🤣unawasemelezea wasafirisha mirungi,ngoja wakutoe utumbo🤔hao wana ubia na polisi,fanya yako,dogo Moshi ukiingia kichwa kichwa utapotezwa
 
Back
Top Bottom