Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tuwe Wakweli Chadema ingeachwa na Nguvu yake ile ile ya 2015 baada ya mabadiliko makubwa aliyoleta mzee Lowasa leo CCM ingekuwa chama cha upinzani Ashukuriwe Shujaa Magufuli kwa ule Mfumo mpya...
1 Reactions
0 Replies
407 Views
Ndugu zangu watanzania, Wafanyabiashara wengi sana wameendelea kuonyesha msimamo wao wa kuendelea kuiunga mkono serikali ya Rais Samia kutokana na usikivu wake katika kutatua kero na changamoto...
-4 Reactions
158 Replies
9K Views
Baraza la wanawake wa Chadema Bungeni - BAWACHABU wameamua kulianzisha pasipokuchoka mpaka kieleweke. Nusrath, Esther Bulaya, Halima Mdee na wenzao wiki ijayo wamepanga kuongea na Vyombo vya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nilikuwa Stesheni kumpokea Mjomba wangu Kanali Kandeo akitokea vitani Uganda na furushi la Zawadi kutoka kwa Waganda Barabara zilifungwa na pale Stesheni tulikuwa tunatumbuizwa na Bendi za Jeshi...
10 Reactions
23 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania, Rais mstaafu wa awamu ya Nne mh Jakaya Mrisho Kikwete amedhihirisha kuwa alikuwa Ni chaguo la Mungu kuliongoza Taifa Hili katika awamu ya Nne,Amedhihirisha ya kuwa Ni...
7 Reactions
85 Replies
7K Views
Nimejaribu kuangalia orodha ya washirika wetu wa maendeleo ama development partners toka tupate uhuru waarabu wa Dubai ama falme za kiarabu hawapo. Nimejaribu kutafiti ni mradi gani wa maendeleo...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Wakuu poleni na majukumu. Kuna Mambo ambayo kwa uelewa wangu mdogo nimeshangaa yanatokea Tanzania tu, sijui kwa nchi zingine 1. Fine za barabarani Bodoboda na bajaji ndio wanaoongoza kuvunja...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa? Inasemekana meli moja inayopeperusha bendera ya Tanzania imekamatwa na vikosi vya wana maji vya Iran ikiwa na shehena ya mafuta ghafi ipatayo tani 900 ambayo ni ya wizi. ---...
1 Reactions
56 Replies
8K Views
Wadau nimekuwa najiuliza Mfanya biashara Mashuhuri Nchini ROSTAM AZIZ aliwatuhumu Mahakimu na Majaji wa Mahakama ya Kisuti kuwa Wanatumiwa na Watendaji wa Serikali na Kupewa Maelekezo. Baada ya...
0 Reactions
3 Replies
801 Views
Hii ni barua ya TICTS iliyoandikwa na Afisa Mtendaji Mkuu Mathew Clifft juzi tuu hapa mwezi Juni 2023,akiwasiliana na wafanyakazi Bandarini Gati No. 8-11 ikiwa wafanyakazi hao wameambiwa na TPA...
8 Reactions
19 Replies
3K Views
Hakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mpaka kutusi. Haya...
43 Reactions
430 Replies
24K Views
UTANGULIZI: Naanza kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu; Mtukufu, Muumba wa Ulimwengu na vyote vilivyomo, kwa kuturuzuku neema ya uhai, afya na uwezo wa kukutana leo hii tarehe 5 Aprili, 2016, katika...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimemsikiliza Lissu tangu juzi akiwa kariakoo na pale Kibamba leo kwa hakika ujumbe anaotema ni mzito sana sidhani kama Samia ana kifua cha kuuhimili. Kama Magufuli aliyejiita chuma, Jiwe...
16 Reactions
43 Replies
4K Views
Katika mkutano wake hivi karibuni na viongozi wa bandari, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, alitoa taarifa kwamba Zanzibar haikuwemo katika mkataba uliosainiwa kati ya serikali...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
LA BANDARI KUUZWA, UONGO UMEFIKA MWISHO, TUJISAHIHISHE TUJENGE NCHI. Na Yericko Nyerere Kabla sijaanza kujadili kuhusu sakata la bandari ya Dar kubinafsishwa milele (Hadi Mwarabu atakapomaliza...
22 Reactions
107 Replies
14K Views
Kutokana na hali ilivyo kuhusiana na mkataba tata wa DP World, ni wakati sasa viongozi wetu wa Dini kutafuta ukweli halisi wa jambo hili. Ni wakati sasa wa viongozi wetu wa Dini kusimama katikati...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu umofia kwenu. Niende moja kwa moja kwenye Mada... Nianze na lawama kwa watu wa serikali, na hasa kina Msigwa, kukwepa wajibu wao wa kusema ukweli, badala yake wanalipa hela nyingi wapiga...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa wafuatiliaji wa siasa haswa Za Kanda ya Ziwa. Kuna huyu Jamaa. Kama mnavyokumbuka Alikua ni Kati ya Game makers wa Siasa haswa Za Mkoa wa Mwanza. Ni Kati ya wasomi mahiri tulionao lakini...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Inakera, inaudhi na inauma sana kuona katiba yetu inawafanya wananchi kuwa wanyonge. Hawana sauti, hawana maamuzi na wala hawawezi kupindua chochote kilichoamuliwa na viongozi (serikali). Chanzo...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nawaza tu na kushangaa kama Nguli wa Sheria nchini Mwalimu wa Tundu Lissu Prof Kabudi aliingizwa mkenge hapo Kenya tu kwenye Mkataba wa Korosho ndio itakuwa hao Magwiji wa DP World kweli Tukubali...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Back
Top Bottom