Kama Shujaa Magufuli asingeipunguza Nguvu Chadema kwa kuchukua vijana wake basi Awamu ya 6 ingepata tabu Sana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,131
Tuwe Wakweli Chadema ingeachwa na Nguvu yake ile ile ya 2015 baada ya mabadiliko makubwa aliyoleta mzee Lowasa leo CCM ingekuwa chama cha upinzani

Ashukuriwe Shujaa Magufuli kwa ule Mfumo mpya ambao Albert Chalamila aliuita wa " Magufuli Ruling Party" ambapo Wajanja Wote wa Chadema walihamishiwa CCM iwe kwa hiyari au lazima

CCM ikizubaa kidogo tu Chadema itarudi kwenye Viwango vyake na mikutano ya Tundu Lisu DSM ni Ushahidi na Leo nimemuona kwa mara ya kwanza DC wa Kinondoni akifanya mkutano wa hadhara Tegeta yalipo makazi ya Huyo Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu

Mlale unono 😃😃!
 
Back
Top Bottom