Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nawaza tu na kushangaa kama Nguli wa Sheria nchini Mwalimu wa Tundu Lissu Prof Kabudi aliingizwa mkenge hapo Kenya tu kwenye Mkataba wa Korosho ndio itakuwa hao Magwiji wa DP World kweli Tukubali...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Waziri Mkuu ameomba Watanzania waiamini Serikali kwenye uwekezaji unaotaka kufanyika Bandari, akidai kuwa sio uwekezaji wa kwanza wala sio jambo jipya bali kulikuwa na mwekezaji ambaye walimpa...
7 Reactions
110 Replies
7K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amezitaka Balozi za Tanzania katika nchi mbalimbali duniani kuanzisha vituo vya utamaduni wa Tanzania ili...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Lissu aheshimiwe. Lissu mara zote amekuwa akiipigania Tanganyika irudi na tuwe na muundo mwingine wa muungano, lazima mawazo ya Lissu yaheshimiwe na Lissu kuipigania Tanganyika anawakilisha...
13 Reactions
55 Replies
3K Views
MBUNGE ASSA MAKANIKA AMESEMA SERIKALI IMEPELEKA SHILINGI BILIONI 11.6 KUJENGA CHUO CHA TIA MKOA WA KIGOMA Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Mhe. Assa Makanika ameendelea na ziara yake katika...
0 Reactions
1 Replies
641 Views
Wakuu, Balozi mstaafu Dkt. Willbrod Peter Slaa anazungumza live kwenye Medani za Siasa Star TV. Sababu ya kuondoka CHADEMA ilikuwa ni kumpokea Edward Lowassa kuwa mgombea Urais wa chama hicho...
20 Reactions
34 Replies
6K Views
Wana jf kwanza habari za jumapili? Leo nimependezwa kuandika kuhusiana na hili la rais kutoka pande za muuangano yaani Zanzibar au Tanganyika. Kwa kadri siasa ilivyo hivi sasa hapa nchini rais...
2 Reactions
48 Replies
4K Views
Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuvutia wawekezaji kuja kuwekeza kupitia sekta mbalimblai zikiwemo utalii, afya, elimu ili kuchochea ukuaji wa uchumi. Kitendo cha Rais Samia Suluhu kuvutia...
0 Reactions
10 Replies
790 Views
Ngoma inogile: Kwenu chawa na watajwa wote habari ndiyo hivyo. Rasilimali ni za wananchi. Kwenye hilo tutaelewana tu!
21 Reactions
146 Replies
14K Views
Sijui Ikulu huwa Kuna nini? Mwenyekiti wa CCM mwenyewe ndio engineer wa huu mkataba. Lipumba hata hajui Kama Kuna mkataba unaendelea mtaani. Zitto akiona kuna waarabu basi breki huwa hazikabi...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
MBUNGE GULAMALI ATOA MIFUKO 700 YA SIMENTI UJENZI WA SHULE NA ZAHANATI JIMBO LA MANONGA Mbunge wa Jimbo Manonga Wilaya ya Igunga, Mhe. Seif Khamis Gulamali ameendelea na ziara yake katika Vijiji...
0 Reactions
1 Replies
756 Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemfunda na kumpa SoMo Waziri wa Nishati January Makamba Kwa kumwambia Achape Kazi na apuuze maneno ya wasiojielewa.. Safi sana kumbe Serikali inajua Waziri Makamba...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Najua unapitia hapa kila siku, naomba ujue sio CHADEMA tu na wapinzani, jiandae kugeukwa na wanaccm ukibazika miaka michache kumalizia urais wako. Siku ya matokea ya urais ya awamu ya nne...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mawakili wa Wananchi , Mashujaa ambao wanatumia elimu yao kuokoa Taifa , wametoa utaratibu wa wazi wa Wananchi kuchangia hela ili kuwezesha kesi iliyofunguliwa ili kupinga dhuluma ya Bandari zetu...
29 Reactions
152 Replies
10K Views
Ili jambo ni la kushangaza licha yakua hospitali za serikali mikoani na wilayani ziko kwenye hali ya uhaba wa vifa tiba na ukosefu wa madakitari, ila aitoshi serikali hutumia billion 36 nazaidi...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Hayo yamesemwa leo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania alipotembelea stesheni ya kisasa iliyojengwa eneo la Gerezani jijini Dar es salaam. Waziri mkuu Kassim Majaliwa aliupongeza...
5 Reactions
87 Replies
8K Views
KISIWA CHA RUKUBA KIMEKAMILISHA UJENZI WA KITUO CHA AFYA Kisiwa cha Rukuba kiko ndani ya Kata ya Etaro yenye vijiji vinne (Busamba, Etaro, Mmahare na Kisiwa cha Rukuba). Kisiwa hiki cha Musoma...
0 Reactions
0 Replies
570 Views
Wabari wakuu, Nimekuja kwenu na swali la kusindikiza 77. Ikitokea umempa kazi fundi, inaweza kuwa kukujengea kibaraza nyumbani, kukushonea nguo, kutengeneza kabati, kurekebisha gari lako nk...
3 Reactions
3 Replies
528 Views
Huu wimbo wa kila Rais kuambiwa anauza nchi ulianza kwa Rais Mwinyi, unajua sababu ilikuwaje? Baada ya Nyerere kwenda China mwaka 1966 akasema akakuta kule China kila kitu kinafanywa na serikali...
47 Reactions
125 Replies
8K Views
Naomba tukumbushane, mwaka 2015 Kikwete alisaini mkataba wa kichief mangungo kama huu wa DP World na kampuni Symbioni ya Marekani, mkataba ambao haukua na exit clause, mkataba uliowapa Symbion...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom