Maonesho ya Sabasaba yanaelekea kuhitimishwa hapo kesho Julai 13, 2023.
Banda la Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo linaendelea kuwavutia wageni mbalimbali kutemelea banda hilo kupata elimu na...
Mjadala unashika kasi na uliopo kwenye masikio ya watu ni kuhusu bandari yetu kuibinafsisha kwa wamanga wa dubai.
Mpaka muda huu kila mmoja anakuja na lake,ghafla bandari wakakurupuka kukanusha...
Wanabodi,
Unawezaje kuamini Maneno ya Issa Shivji,Maneno ya TLS chama cha wanasheria hiki,Maneno ya Mbowe au Dkt slaa?
Hao wote ni vigeugeu,Hukumbuki Issa shvji na midahalo ya katiba na serikali...
Waliopewa ajira watoe huduma wanatulazimisha tusio na ajira tuwalipe kitu kidogo ndipo watu ajira
Walioajiriwa wanatuambia wao ni wezi na kwamba wanaamini hata sisi wakitupa ajira tutaiba hivyo...
Maaskofu wengi hutumia punguzo au misamaha ya Kodi kupitisha madili yao kwa kisingizio cha makanisa au taasisi zilizoanzishwa kupiga dili kupitia misamaha hiyo wakiagiza huangiza na zao binfsi na...
Friends and Enemies,
Katika kile kinachoonekana kuwa ni vita dhidi ya rasimali za nchi kama wenyewe wanavyosema, ameibuka Askofu Mstaafu Stephen Munga ambaye ni Askofu Mkuu Mstaafu dayosisi ya...
Tanzania ni mojawapo ya nchi nzuri na ya kuvutia duniani. Inazo raslimali za aina mbalimbali na zingine ambazo huwezi kuzikuta sehemu nyingine duniani.
Kwa ufupi, Tanzania ni moja kati ya nchi...
Wakati wa Nyerere alihakikisha Vijana Wote wanaingizwa katika Siasa kupitia mifumo mbalimbali Ili iwe rahisi kuwadhibiti ndio Mbowe akapewa jukumu la Disco na John Komba akapewa Kwaya na Maigizo...
UJUMBE KWA TISS; TOP 20 YA MATAJIRI NDANI YA NCHI SHARTI ITAWALIWE NA WAZAWA; HUKO NDIKO KUJITAWALA.
Anaandika, Robert Heriel
Utawala ni nguvu ya kiuchumi. Hata kwenye ngazi ya familia. Mwenye...
It is trending now.
Idadi ya akina Tundu Lissu wanaozidi kuibuka kila pande ya Nchi inaongezeka kwa kasi ndani ya Muda mfupi.
Kumbe awamu ya tano haikuwapunguza bali wamezidi kuota mapembe...
Rais alipomteua Eric Hamissi April 2021 alimweleza ufisadi wa Bandarini akamuagiza achukue hatua!
Mwezi Disemba 2021 Rais alivunja Bodi ya TPA akatoa nasaha tena za ufisadi pale! Watu...
Dr. Slaa awaambia Waandishi wa habari wafanye uchunguzi kujua mikutano wanayoenda kuhudhuria kutazungumzwa nini kabla ya siku ya tukio ili wasiende kuwa watu ambao hawana maana kwa kushindwa...
CCM enzi za Jakaya Kikwete kuvaa sare za chama ilikuwa fedheha sana.
Chuma, Hayati Magufuli aliposhika kijiti chama kilipata Imani a heshima kubwa sana toka kwa wananchi,sasa awamu ya sita ya...
Watanzania tunasahau mapema sana!
Kwenye suala la rasilimali zetu serikali hii hii imekuwa ilkitudanganya kila siku lakini yale inayoahidi huwa hayaji kama yanavyoahidiwa.
Kumbukeni tangu enzi...
Wananchi wa Bagamoyo mkoani Pwani, wataendelea kusimama na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kuhakikisha Bandari ya Dares Salaam inaleta tija zaidi kwa Watanzania wanufaike kichumi.
Hayo yalisemwa...
Architecs waliosababisha CCM karibu iondoke madarakani 2015 ndio hao hao walioleta DP World lengo hasa lao ni kuwa walishindwa kufikia malengo yao kung'oa CCM wameingia part 2 ya kubuni agenda ili...
Dkt. Slaa akiwa anazungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo Julai 12, 2023 asema, Rais anapoajiri watu wake hatutaki uaajiri machawa ambao wanatumia kodi zetu.
Akiongeza...
Kuna mkutano unaandaliwa na Dr Slaa na wenzie July 22. Mahali patatangazwa wiki hii. Katika mkutano huo wazungumzaji ni mawakili Lissu, Mwabukusi, Madeleka, Nshala n. K pia Waziri Mbarawa...
Badala ya kujibu hoja zilizoletwa na wanasheria pamoja na Mh. Balozi Dr. Wilbrod Slaa, Serikali imeamua kumtumia Jerry Silaa kuvuruga malengo ya hoja husika.
Jerry Silaa ametumika tu ili pengine...
Habari zenu wana jf wenzangu.
Wakuu baada ya kufuatilia kwa kina kile kinachoendelea katika swala hili la bandari, hususani hapa JF, nimegundua kwamba kuna uwezekano mkubwa wa siku kadhaa zijazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.