BAWACHABU kuliamsha suala la bandari wiki ijayo

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,484
20,437
Baraza la wanawake wa Chadema Bungeni - BAWACHABU wameamua kulianzisha pasipokuchoka mpaka kieleweke. Nusrath, Esther Bulaya, Halima Mdee na wenzao wiki ijayo wamepanga kuongea na Vyombo vya habari kuonesha madudu yote ya DP World.

Pamoja na Mambo mengine yote hawa ndio watu pekee nchini wenye uwezo wa kupigania hili suala nje na ndani ya bunge.

Pamoja na kelele zao Lissu na Mbowe hawawezi kulipigania tena Bungeni suala hili.

Kila la heri BAWACHABU.
 
hatuwezi kuendelea kuwa nafasi watu wanao hubiri uvunjifu wa amani. IGP huyu nae kapooza mnoo kwakweli
 
Hao wanawake walishafukuzwa Chadema, hivyo kutumia jina lenye kiashiria cha chama walichofukuzwa sijawaelewa, hata kama wakisema wana kesi mahakamani, mpaka kwanza washinde hiyo kesi ndio watumie hilo jina, vinginevyo jina Chadema kwao kwa sasa sio sahihi.

Pamoja na hayo, naungana nao kwenye kuipigania Tanganyika yetu, tuikomboe kwa pamoja wote wenye mapenzi mema, kwani Tanganyika ndio mama yetu, vyama vya siasa vinafuata baadae.
 
Back
Top Bottom