Sakata la Rostam Aziz kwanini chama Majaji ndio kitake uthibitisho na sio mtendaji mkuu wa mahakama?

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
May 28, 2023
930
1,299
Wadau nimekuwa najiuliza Mfanya biashara Mashuhuri Nchini ROSTAM AZIZ aliwatuhumu Mahakimu na Majaji wa Mahakama ya Kisuti kuwa Wanatumiwa na Watendaji wa Serikali na Kupewa Maelekezo.

Baada ya kauli hiyo Kiliibuka CHAMA cha Majaji na Mahakimu kumtaka ATHIBITISHE na ndipo Mfanya Biashara Huyu akaomba Msamaha na kudai ULIMI uliteleza .
Najiuliza Mahakimu na Majaji wapo chini ya MAHAKAMA kwanini MTENDAJI MKUU wa MAHAKAMA alikaa KIMYA wakati MAHAKAMA yake ndio imetuhumiwa na kuwaacha Mahakimu na Majaji Wajitetee kwa kuomba Uthibitisho kutoka kwa Mhusika?

Je bila Chama cha Majaji kujitokeza ina maana MTENDAJI MKUU wa MAHAKAMA angekaa kimya?
mwananchi_official_1688834307933287.jpg
 
Wadau nimekuwa najiuliza Mfanya biashara Mashuhuri Nchini ROSTAM AZIZ aliwatuhumu Mahakimu na Majaji wa Mahakama ya Kisuti kuwa Wanatumiwa na Watendaji wa Serikali na Kupewa Maelekezo.Baada ya kauli hiyo Kiliibuka CHAMA cha Majaji na Mahakimu kumtaka ATHIBITISHE na ndipo Mfanya Biashara Huyu akaomba Msamaha na kudai ULIMI uliteleza .
Najiuliza Mahakimu na Majaji wapo chini ya MAHAKAMA kwanini MTENDAJI MKUU wa MAHAKAMA alikaa KIMYA wakati MAHAKAMA yake ndio imetuhumiwa na kuwaacha Mahakimu na Majaji Wajitetee kwa kuomba Uthibitisho kutoka kwa Mhusika?
Je bila Chama cha Majaji kujitokeza ina maana MTENDAJI MKUU wa MAHAKAMA angekaa kimya?View attachment 2682227
Huo ni ugomvi wa ndugu shika jembe ukalime.
 
Back
Top Bottom