Mara nyingi CCM hutegemea pesa za uchaguzi Toka kwa matajiri Ambao huzawadiwa rasilimali zetu kiholela. Wakati huu imekua ni zamu ya DPW ndio maana inatetewa kwa nguvu zote.
Bibi tozo...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kutumia fursa za lugha ya Kiswahili ili kuongeza kipato na kukuza uchumi wa taifa.
Waziri Mkuu...
Tuliwahi kuandika hapa JF kuwa hakuna uteuzi au utenguaji unaofanyika kwa bahati mbaya au nzuri, kila uteuzi na utenguaji wa rais hapa Tanzania ni mpango kamili na mkakati mahususi wa muda mfupi...
Inafahamika kuwa bandari zetu zinatoa huduma hafifu sana kwa wateja wake wanaozitegemea kwa huduma.
Inafahamika kuwa bandari zetu hazitoi mapato yanayokusudiwa kwa taifa kwasababu mbalimbali...
Cha ajabu na cha kushangaza serikali bado inamuamini kuwa ni mtu sahihi kuendelea kuwa waziri mkuu, ni bora mama angelivunja baraza la mawaziri akateua mtu mwingine wa kumsaidia kazi huyo majaliwa...
Inadaiwa kuwa Wazee wa kinyakyusa mkoani Mbeya watakutana katika kikao cha dharura kule Busokelo baada ya kusikia kijana wao anatishwa kuuawa.
Wakili Boniface Mwabukusi a.k.a Mayweather ni...
Naam, ni DP World Luanda Port.
Bandari ya Luanda ni moja ya bandari kubwa nchini Angola kati ya bandari zake zikiwemo za Lobito na Benguela ambazo zipo pembezoni mwa bahari ya Atlantic.
Lakini...
Kwa mwendo huu tunaokwenda nao ambapo kila jambo linaanza kubuma tukianzia mikataba, teuzi zisizo zingatia weledi na maamuzi ya hovyo hovyo tokea juu kuja chini ni wazi kauli ya ANAUPIGA MWINGI...
Habari JF, kuna picha hii ilianza kusambaa siku chache zilizopita baada ya Prof Kitila kuukwaa uwaziri nkajiuliza nini dhumuni, nikagundua moja ilikuwa ni kuonyesha umma kitila alihusika na DPW la...
Wataalamu wa diplomasia na uchumi mtusaidie.
Mm nimezeeka sijawahi kufika Zanzbar na wala sijutii kutokufika kwangu. Na mpaka sasa sijui faida yoyote ya kuwa na Zanzbar.
Tusipokuwa na Zanzbar...
Ndugu zangu wana jamvi mi kuna jambo linanitatiza kuhusu huyu mnajibu wa kimataifa, kipindi cha mkapa aliwahi kusema kua wananchi wanampenda sana mkapa na watamuomba aendelee kuongoza ingawa...
Mimi Rashda Zunde, naamini kwamba hatua za serikali za kutafuta kampuni yenye uwezo na uzoefu mkubwa katika uendeshaji wa bandari duniani kwa teknolojia za kisasa kuiwezesha Bandari ya Dar es...
Habari zenu wana JF wenzangu
Kwanza kabla ya yote ningependa niwe mkweli kwamba katika nchi yetu Tanzania toka tupate uhuru hadi leo, moyo wangu unaamini au kumchukulia hayati Magufuli kama...
Neno la hekima kwa wanajamii forums, wanasiasa, viongozi, watendaji wa serikali na watanzania wenzangu.
"Hekima ni pamoja na kujua la kuzungumza kwa wakati ufaao na kwa kiasi kifaacho."
Kwa wapinzani hawa tulio nao ambao wanashangilia na kufurahia kuweza kumpigia rais simu muda wowote kama vile ni jambo la maana sana basi Tanzania kazi bado ipo.
Leo Sugu ama Joseph Mbilinyi...
Ukiona kwenye mjadala wowote mkubwa wametangulizwa hao Wateule niliowaja ukimuongezea Steve Nyerere na Yericko Nyerere basi kama Mtima wako ni mwepesi Usijiingize kabisa unaweza kuuliwa na Matusi...
Kila mtu anajua kuwa wanachokitaka wapinzani sio katiba mpya bora sana ya kuongoza nchi, ila wanataka katiba mpya ambayo italeta Tume ya uchaguzi tofauti na ya sasa wakiamini Tume nyingine ya...
BARUA YA WAZI KWA MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA
Mheshimiwa Rais;
Naomba kwanza nikupongeze na nikupe pole kwa kazi kubwa na nzuri unayoifanya ya kuliongoza taifa letu kwa moyo wa wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera kwenye picha ya kumbukumbu na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.