Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

JE NI MKATABA WA BANDARI AU MAKUBALIANO YA BANDARI? JE NI MKATABA AU MAKUBALIANO YA TANGANYIKA NA ZANZIBAR? Leo 13:15hrs 29/06/2023 Rais Museveni alipokuja Chato aliwahi kusema Watanzania tuna...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kume kuwa na utetezi WA Wanaotetea nkataba WA DPW kuwa ukodishaji WA Bandari sio WA mara ya Kwanza , Kwa kutolea mfano WA Mkataba WA TICTS ambayo ilikuwa na muungano na Hutchinson ya Singapore ...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Kulikuwa na nuru kuwa serikali, polisi, mahakama, bunge to mention but a few, for that matter, watatenda kazi zao bila kuonea upinzania (hasa chadema) na kufuata sheria zilizopo ingawa ni mbovu...
0 Reactions
7 Replies
996 Views
Hellow great thinkers Tumeskia kwamba endapo kampuni ya DPW ikiwekeza katika bandari yetu (zetu) itatoa 35% ya hisa zake kwa watanzania ili nao wawe sehemu ya kampuni Naomba kueleweshwa jinsi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Tuchapeni kazi, serekali yetu sikivu imesikia inafanyia kazi kwa umakini mkubwa maoni yote. Tufunge sasa mjadala huu imetosha, tunachelewa sana kwa mijadala isiyokwisha na ambayo pengine inaweza...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Mahakama kuu kanda ya Arusha leo 16/06/2023 imewaachia huru watu 12 wakiwemo Mashehe waliosingiwa kesi ya Uongo ya Ugaidi. Walifunguliwa kesi No. 65 ya 2022 na kunyimwa dhamana, ambako wamewekwa...
18 Reactions
65 Replies
8K Views
Mikutano ya adhara ya CCM kukosa wafuasi na kugubikwa na watoto inaleta tafsiri ya kukataliwa au wazazi wa watoto wapo busy na kilimo?
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Marehemu John Chipaka enzi za uhai wake. Aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha siasa cha upinzani nchini cha TADEA, John Lifa Chipaka amefariki dunia jana jioni katika Hospitali ya Ibrahim Haji ya...
14 Reactions
101 Replies
19K Views
Taarifa kutoka Mbeya inaeleza kwamba, Taasisi isiyo ya kiserikali imeiomba Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya, kuruhusu kesi iliyofunguliwa na Wananchi Wazalendo ya kupinga Mkataba wa Milele wa Bandari...
16 Reactions
56 Replies
5K Views
Natabiri hapa waziwazi leo tarehe 16/7/2023 Rais atakaefuata baada mama Samia ni Mwigulu Lameck Nchemba 🙏🙏🙏🙏
11 Reactions
149 Replies
14K Views
Igweeeeeeeeee, Mambo vipi wakuu? Nimekutana na comment hii hapa chini iliyojaa uzalendo, nikaona nii-copy na kui-paste hapa kama uzi unaojitegemea kulingana na umuhimu wake kwa nchi yetu. Na kwa...
41 Reactions
103 Replies
7K Views
Kuna sehemu wananchi umewakosea. Tafakari! Toka uanze kazi ni mikoa 2 tu sijatembelea nayo ni Kagera na Kigoma. Mikoa mingine yote nimefika na kujaribu kufanya utafiti wa kawaida. Hali ni mbaya...
63 Reactions
167 Replies
11K Views
Tukio hili linanikumbusha tukio moja liliwahi kufanyika ktk moja ya majengo ya Bunge Kwa wale waandishi waliopata kuriport Bunge wanajua heka heka za kufile stories maswali na majibu na story...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waliokuwepo zama hizo na wasio Wanafiki watanielewa, mzee Mwinyi aliikuta nchi katika halo Ngumu ya kiuchumi kuliko Rais mwingine yoyote Kipekee niwashukuru Prof Kighoma Malima aliyekuwa Waziri...
20 Reactions
84 Replies
5K Views
Naomba tu kuelimishwa Huu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa Makubaliano au Mkataba? Nimejiuliza hili swali baada ya Kauli ya Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar mh Masoud Othman kwamba...
0 Reactions
3 Replies
487 Views
Kuna uwezekano Prof. Mbarawa hakusoma mkataba kabla ya kusaini, hadi kusaini alishaanza kusaini nafasi ya katibu mkuu. Kuna nguvu kubwa ilitumika kupitisha hili dubwasha, haiwezekani jambo kubwa...
21 Reactions
157 Replies
9K Views
Leo tarehe 17 Julai, 2023 Mafunzo ya matumizi ya matokeo ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 yamefunguliwa Mkoani Manyara na Anna Makinda, Kamisaa na Muhamasishaji wa Sensa Tanzania, na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Ukonga kiliandaa Mkutano wa Hadhara huko Chanika, Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika ndiye aliyekuwa mtoa mada. Jambo kubwa lililozungumzwa...
24 Reactions
49 Replies
5K Views
Baadhi ya wanasheria wanasema tujitoe kwenye IGA kwa sababu tukishindwa kutekeleza tunaweza kushitakiwa. Mwanazuoni huyu anakataa- soma:- Intergovernmental agreements Authors: Daryl R Williams...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom