William Ngeleja jiandae 2025 Rudi Bungeni

Kobe123

Member
Jul 4, 2023
82
216
Kwa wafuatiliaji wa siasa haswa Za Kanda ya Ziwa. Kuna huyu Jamaa. Kama mnavyokumbuka Alikua ni Kati ya Game makers wa Siasa haswa Za Mkoa wa Mwanza. Ni Kati ya wasomi mahiri tulionao lakini alijikuta akidondokea pua mwaka 2020 kutokana na Mambo ya Hayati.

Kwa mambo yalivyo pale Senger ma ipo wazi kuwa Tabasamu ameshindwa kazi.

Wakati wa uongozi wa Ngeleja yapo mengi mazuri ambayo alifanya tuliona Vijana wakinawiri na kutabasam. Fursa zilishuka haswa Jimboni.

Hii miaka mitano ya Tabasamu kwakweli ni aibu tupu. Mtu anaitwa watu kwenye Mkutano anaanza kuwasimanga eti Mimi sijasoma lakini ni Mbunge.

Kwani nani alizuia mtu asisome.? Je ana chuki na Wasomi?? Hauwezi endesha Jimbo kwa kutumia huruma za watu ambao hawajasoma. Au mtu wa aina hii anakuwa akihamasisha watu tuache kusomesha?

Miaka mitano ya Tabasamu inawesa kumtosha HEBU NGELEJA RUDI BUNGENI
 
Ila Pro Msoga wote ni wacgafu sana. Ngeleja na Msoga ni pete na kidole.

Ona akina Makamba junior
 
Back
Top Bottom