Kama kuna jambo ambalo limeamsha hisia na vuguvugu za kizalendo kwa kipindi kirefu kilichopita, na kupata sapoti ya wanazuoni wanaoheshimika ndani na nje ya nchi ni hili la bandari.
Pamoja na...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Juliana Daniel Shonza ameendelea na ziara yake Kata kwa Kata huku akifanya Mikutano ya hadhara kwa lengo la kuelezea kwa wananchi utekelezaji wa Ilani ya...
MBUNGE NGASSA: "TUNATENGENEZA BARABARA ZA KUUNGANISHA KATA NA KATA KWA AJILI YA KUFUNGUA UCHUMI WA VIJIJINI"
"... Mwaka huu wa Fedha Tumeweka msisitizo kutengeneza Barabara zinazounganisha Kata...
Kuna viongozi wa Afrika wakiongozwa na Ramaphosa wako Ukraine na Urusi kuwaambia waache kupigana, je, ni sawa kufanya hivyo? wataweza? au walipaswa kuanzia na Sudan, Somalia, DR Congo na Ethiopia...
Ni zaidi ya mwezi sasa hili suala la bandari limeendelea kuwa gumzo, kinyume na matarajio yangu!
Mwanzoni nilidhani lilikuwa ni upepo tu upitao kama yalivyo masuala mengine.
La hasha. Haijawa...
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa Mary Chatanda amemshukia vikali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe kwa kile...
MHE. MARTHA MARIKI - WANANCHI WA KATAVI WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA HUDUMA YA MAJI
Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ameishukuru serikali kwa kuwaletea Huduma ya Maji safi na...
Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema kuna vyama vya siasa vipya vipatavyo 18 vimeomba kusajiliwa.
Je hali hii ni kukomaa kwa demokrasia nchini au ni fujo za kisiasa tutegemee? Je vyama...
Mawakili wa Profesa Kabudi wengi wao wakiwa ni products za UDSM +Tumaini University, nadhani wana shida katika kufikili au hawajui kufikili vizuri. Nimemsikiliza Wakili Mwabukusi, Madeleka na...
Wakati awamu ya 5, ambayo Rais Samia alikuwa makamu wa Rais, ilidhihirika wazi kuwa utawala huo ulikosa uvumilivu wa kisiasa, na hivyo kuegemea kwenye nguvu za dola katika kuwaonea watu wanaohoji...
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Charles Makongoro Nyerere ametembelea Wilaya ya Nkasi tarehe 10 Julai 2023, kwa ajili ya kukagua miradi ya maendeleo.
Mhe. Makongoro amekagua kazi za ujenzi wa...
Hayawi Hayawi huenda YAKAWA .Hayati Baba wa Taifa Mwl.Julius Nyerere aliwahi kusema "Ukila Nyama ya Mtu huwezi kuacha".
Baada ya kula NYAMA ya BANDARI Kipanya ametabiri TANESCO nayo kutafutiwa...
Kwa Mujibu wa The African Report, Kampuni ya Indiana Mining ya Marekani imesema Haitasita Kukamata Ndege za Shirika la Ndege la Tanzania Air Tanzania ikiwa Serikali itashindwa kuilipa madai Yao...
MBUNGE JACQUELINE KAINJA AHITIMISHA ZIARA KWA KUTEMBELEA WILAYA YA SIKONGE MKOA WA TABORA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew tarehe 17 Julai, 2023 amehitimisha...
Taarifa ikufikie popote ulipo usiku huu kwamba , Yule kijana Mzalendo na mpigania Rasirimali za Taifa , sumu ya nyigu , anayefahamika kwa jina la Mdude Nyagali , ameachiwa huru kwa dhamana ya...
Nionavyo mimi wafuatao ni wanasiasa bora wa muda wote kwa upande wa upinzani. Orodha hii itaanza na yule bora zaidi kushuka chini.
1. Hayati Maalim Seif
Kila mmoja anakumbuka vizuri balaa la...
Kampuni ya utafiti wa dhahabu ya Indiana Resources iliyopo Australia imeanzisha madai ya kutaka fidia ya dola za kimarekani million 95 (takribani TZS Bilioni 220) dhidi ya Serikali ya Tanzania...
Hukumu ya Mahakama iliyotolewa dhidi ya MADELEKA imemwacha pembeni mke wa mtuhumiwa ambaye walituhumiwa kutenda makosa wakiwa pamoja; kwa tafsiri nyingine ni kwamba mke amebaki kukubali plea...
Akihojiwa na chombo kimoja cha habari, Mwanasheria Phillipo Mwakilima anemkosoa vikali Spika Tulia Ackson kwa staili yake ya kujifanya ni mtafsiri sheria na mwalimu wa sheria kila sehemu...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mwenyeji wa Rais wa Hungary, Katalin Novak katika Ikulu ya Dar es Salaam, leo Julai 18, 2023.
Rais Katalin Novak yupo katika ziara ya siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.