Michael Uledi
Senior Member
- Mar 29, 2023
- 132
- 322
Mawakili wa Profesa Kabudi wengi wao wakiwa ni products za UDSM +Tumaini University, nadhani wana shida katika kufikili au hawajui kufikili vizuri. Nimemsikiliza Wakili Mwabukusi, Madeleka na wengine wengi wakijenga hoja dhaifu na lenye lengo la kuleta mpasuko kwenye umoja wa Kitaifa wetu.
Eti "...Samia na Mzanzibari mwenzake Profesa Mbarawa wameuza Bandari za Tanganyika...", ujinga wa viwango vya juu sana sana.
Hivi nani ambaye anaamua wapi awekeze? Ni Mwekezaji au ni Mh. Rais Samia? Mwekezaji yoyote serious ufanya visibility study ya mradi anaotaka kuwekeza na kuona returns on investment itarudi lini na kwa kiwango gani. Hivi Bandari zipi zipo more economically vissible kati ya Bandari ya Dar es Salaam au Bandari za pale Zanzibar?
Bandari zote za bara kwa maana ya Dar, Tanga na Mtwara + Bandari za Maziwa zina fursa kubwa zaidi za biashara kuliko Bandari za Zanzibar. Dar Port inazungukwa na nchi zaidi ya nane like Malawi, DRC, Rwanda, Zambia, Zimbabwe, Uganda.
Bandari ya Dar inahudumia almost soko la watu milioni 400 mpaka 500 wakati Bandar za Zanzibar zinahudumia soko watu si zaidi ya milioni tano. Sasa Mwabukusi alitaka Investor achague Bandari za Zanzibar? Ukichaa wa viwango vya juu huu wa Mawakili wetu.
Ziwa Nyasa linabeba soko la Malawi na Msumbiji, Victoria inabeba soko la Uganda, Kenya na Tanzania, Ziwa Tanganyika linabeba soko la DRC Nchi ya pili kwa Population na ukubwa wa eneo Afrika, sasa Mawakili wa mchongo ambao hawajui hata hesabu za kiuwekezaji walitaka DP World achague Bandari za Zanzibar? Wameamua kujitekenya na kucheka wenyewe.
Investor yoyote serious hata kama sio Mwarabu ni lazima angechagua Bandari za Bara zaidi sababu ya Geopolitical - economic opportunities ambazo Bandari za Bara zinakupa.
Decision ya wapi niwekeze ni ya Mwekezaji na sio decision ya Mama Samia na Mbarawa wala sio decision ya Mwabukusi na Madeleka.
Huu uwakili wa kutaka kupata political maleage utaisha lini?
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app