Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1.Mwenyekiti ZEC hana maamlaka ya kufuta uchaguzi Zanzibar. 2.Katika hali ya kawaida, siyo polisi wala JWTZ wanayo maamlaka kuzuia ZEC kutimiza majukumu. Swali, nani yupo nyuma ya pazia ufutaji...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Mbunge Wa Jimbo la Ndanda Cecil David Mwambe ameendelea na ziara Jimboni Ndanda. Leo Jumanne ya tarehe 18 Julai, 2023 amefanya Mikutano Vijiji vya Mihima na Nambawala kwenye Kata ya Mpanyani kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwaka 1964, Rais Nyerere na Karume Walipoamua kuunganisha Taifa la Zanzibar na Tanganyika, kila nchi ilipoteza katiba yake, bendera yake na Wimbo wa Taifa lake. Wakati wa utawala wa Jakaya Mrisho...
35 Reactions
97 Replies
6K Views
Ndio, Uraisi ni Wadhifa nyeti Duniani kote na Raisi anapaswa kulindwa na mfumo na Sheria za Nchi akiwa ndani na hata nje ya madaraka. Lakini swali ni Je, Kinga za kisheria wanazopewa viongozi Hawa...
2 Reactions
5 Replies
696 Views
Waziri wa maji Jumaa Aweso amemsimamisha kazi Kaimu Meneja Ruwasa Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma Bakari Kiwitu na kumuondoa katika mradi Mkandarasi Nangai Engineering na Contractors wa mradi wa...
0 Reactions
3 Replies
741 Views
Nampongeza Mhe. Rais kwa kuona umuhimu wa kuunda sub committee za kusimamia utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya haki jinai Lakini nadhani kuna jambo ambalo Mhe. Rais alipaswa kuliona; kamati...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Jecha Salim Jecha amejitokeza kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais visiwani humo kwa tiketi ya CCM. Jecha amewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na...
18 Reactions
226 Replies
31K Views
Nina Imani atawakubalia, mkazungumze kama watanzania. Mpe mawazo yenu in a cordial environment and I am optimistic she will heed to your request maana mna hoja za msingi sana.
1 Reactions
33 Replies
1K Views
Tanzania inafanya vizuri zaidi kwa gharama za umeme kuliko nchi nyingi za EAC na SADAC na eneo lingine ni miundombinu inayozidi kuboreshwa na kuimarishwa ukiwamo ujenzi wa reli ya kisasa (SGR)...
0 Reactions
3 Replies
473 Views
Ndugu zanguni, kumekuwa na tetesi kwamba kuna mpango wa kupeleka Muswada Bungeni ili kufuta sheria zinazolinda Rasilimali zetu za Nchi. Kama hii habari ni ya kweli, naomba wahusika wajiepushe...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Mahakama ya Rufaa katika kesi ya Wakili Madeleka kupinga utaratibu wa plea bargaining katika kesi yake ya Uhujumu uchumi IMEAMULIWA KUFUTWA KWA UTARATIBU WA NA MASHARTI YOTE YALIYOTUMIKA KUMFANYA...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Msikilize mkurugenzi mtendaji CCK msemaji wa pili baada ya seneta. Alisoma certificate in laws udsm kabla ya kutimkia south africa 2014... wakati huo alikuwa akisakwa na vyombo vya ulinzi na...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za leo wana JF! Zamani Mwalimu Nyerere atuambia maadui wa kweli wa Nchi hii walikuwa watatu yaani ujinga, maradhi na umasikini. Lakini miaka 60 baada ya uhuru maadui wameongezeka badala ya...
13 Reactions
33 Replies
3K Views
Leo hii kesi moja ya kuvunja mkababa wa uchimbaji tumehukumiwa huko Ulaya tunatakiwa kulipa mabilioni, na hatujali wala hakuna anayewajibika. Mkataba wa bandari huo tunaonywa tumekomaza shingo...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari jf , 1.Una hitaji uwe na akili kubwa sana -High IQ kama mfano wa Tundu lissu kutambua JPM alikuwa kiongozi bora na aliyeipenda Tanzania kutoka moyoni . Akili kubwa siku zote huielewa...
2 Reactions
13 Replies
971 Views
Kwanza kabisa tumsikilize Tundu lissu kuhusu Mali za Tanzania .. Pili, binafsi sina shaka na alichokiongea Tundu lissu kuhusu JPM . Mwisho, kama wewe ungekuwa ndio Hayati JPM umeingia madarakani...
1 Reactions
11 Replies
922 Views
Ripoti mpya ya Taasisi ya Uchumi na Amani (IEP) ya mwaka 2023 toleo la 17 imetoa takwimu ya nchi zenye amani zaidi barani Afrika ambapo utafiti huo unaonesha kuwa Tanzania imeshika nafasi ya 17...
0 Reactions
4 Replies
874 Views
MwanaCCM akosoa mtumizi ya influencers kwenye mambo serious kama bandari. Amekosoa matumizi.ya watu kama kina Maulid Kitenge na Steve Nyerere ambao hawana uwezo wa kujenga hoja.
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Naam wanajamvi, Niende moja kwa moja kwenye mada. Mkuu wa mkoa wa Mbeya alisikika akiwaambia wazee wa kimila kama wanaweza kuwatengeneza wanaopinga ubinafsishaji wa bandari na wafanye hivyo...
1 Reactions
3 Replies
467 Views
Kitu kingine nilichokiona kwenye utawala uliopita ni wananchi kukosa kabisa Uhuru, Amani , furaha na Upendo, kiasi cha kila mtu kuona mwenzake ni Adui. Kumbe Uhuru, Upendo na Amani vinazalisha...
25 Reactions
77 Replies
7K Views
Back
Top Bottom