Mdude Nyagali aachiwa huru kwa dhamana

Mdude Nyagali aachiwa huru kwa dhamana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,738
Reaction score
284,689
Taarifa ikufikie popote ulipo usiku huu kwamba , Yule kijana Mzalendo na mpigania Rasirimali za Taifa , sumu ya nyigu , anayefahamika kwa jina la Mdude Nyagali , ameachiwa huru kwa dhamana ya Polisi .

Kabla ya hapo Shujaa Mdude aligoma kupekuliwa nyumbani kwake na jeshi la Polisi kwa vile Jeshi hilo haliaminiki na kuna Ushahidi kwamba liliwahi kumbambika Mdude madawa ya kulevya ili kumkomoa na kumfurahisha Dikteta Magufuli (Mahakama ilithibitisha)

Hatimaye Shetani ameshindwa tena .

FB_IMG_1689626413653.jpg
 
Ameshitakiwa kwa kosa la kuwa Mwanachama wa Chadema
Kosa kukosoa serikali.

Samia alimchana hayati Magufuli kwamba alikuwa "Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakumeza."
Sasa anaiga tactics zile zile za Magu.

Sielewi kwa nn kila kiongozi anadhani ukiacha watu wakosoe maamuzi ya serikali au waandamane au waseme Waziri Mkuu kadanganya basi nchi haitatawalika. Wamepata wapi hiyo bad experience?

Bahati mbaya hatuna sehemu Afrika ya kufanyia case study, ya jee, penye demokrasia kamili nchi inatawalika haitawaliki?
 
Taarifa ikufikie popote ulipo usiku huu kwamba , Yule kijana Mzalendo na mpigania Rasirimali za Taifa , sumu ya nyigu , anayefahamika kwa jina la Mdude Nyagali , ameachiwa huru kwa dhamana ya Polisi .

Kabla ya hapo Shujaa Mdude aligoma kupekuliwa nyumbani kwake na jeshi la Polisi kwa vile Jeshi hilo haliaminiki na kuna Ushahidi kwamba liliwahi kumbambika Mdude madawa ya kulevya ili kumkomoa na kumfurahisha Dikteta Magufuli (Mahakama ilithibitisha)

Hatimaye Shetani ameshindwa tena .

View attachment 2691454
Mahakama ilithibitisha Magufuli ni Dikteta?🤬
 
Back
Top Bottom