Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi, wasomi hawa wawili walitunukiwa vyeti na aliekuwa Rais wa Nchi hii Marehemu Magufuli. Kama niko sahihi kwanini wasomi hawa wasinyang'anywe vyeti walivyopewa na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Sio siri tena kwa sasa, sekta ya madini hapa Tanzania imehujumiwa kwa kiwango kikubwa mno na Profesa Mruma. Ripoti ya spika ya bunge kuhusu uwekezaji wa uchimbaji wa Almasi imethibitisha rasmi...
40 Reactions
270 Replies
31K Views
Asalaam, Kila uchao maswali yanakuwa mengi bila majibu. Katika mijadala inayoendelea hasa hasa kuhusu bandari na mingine inayoanza kusikika kama TFS, TPDC, etc. Kuna eneo nimejaribu kuangalia...
7 Reactions
40 Replies
3K Views
Wakuu waungwana wa JF, Kama kuna yeyote anayejua anisaidie na wengine wanaotaka kujua kama mimi. Karibuni wajuzi wa mambo Muktasari wa Ripoti ya Kamati ya Prof. Osoro unapatikana hapa...
15 Reactions
85 Replies
10K Views
Maprofesa wawili wazalendo, Mruma na Osoro, mnastahili kuombwa samahani maalum ya maandishi kutoka kwa yoyote yule ambae alishiriki katika kuwakejeli na kudharau taaluma zenu. Labda matusi...
16 Reactions
96 Replies
7K Views
Ripoti ya Prof Mruma kuhusu Makinikia na kampuni ya Accacia, ilikuja na jibu kuwa "Accacia ni kampuni feki". NANUKUU ( It is confirmed that Accacia Mining is Non-Existing entity in Tanzania) SOMA...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Naamini kila mmoja alishitushwa na taarifa iliyotolewa na kamati ya bunge ambapo pamoja na mambo mengine ilimtaja Pro.Mruma kwamba alishiriki kuisababishia nchi Hasara kwenye sekta ya madini...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Huyu profesa ambaye ripoti yake ya Magumashi imeleta maswali mengi, amekuwa kwenye bodi ya wakurugenzi ya Mgodi wa mwadui lakini mgodi huu umekuwa unatuibia kabla hatujapata uhuru, na ukiangalia...
12 Reactions
151 Replies
13K Views
Taarifa zinaonyesha prof Mruma aliwahi au ni mjumbe wa mgodi huu wa mwadui ulioitia hasara serikali Mjumbe wa Bodi anawajibika kuhakikisha mgodi unafata taratibu zote na bila shaka prof Mruma...
10 Reactions
41 Replies
5K Views
Baada ya CAG kuwasilisha ripoti ya mahesabu ya mwaka 2019/ 2020 tumeambiwa kuwa kuna hasara ya Tsh 60 Bilion kwa ATCL. Na kwamba hata miaka ya nyuma ATCL ilikuwa inapata hasara kila mwaka kinyume...
12 Reactions
52 Replies
6K Views
Natafakari hapa nimekosa jibu. Hivi!!!! Aliyemtuma Prof. Mruma Wizarani kuchunguza wizi wa madini yetu ni nani? Na ni lini alitumwa? Nachoelewa kwenye secta/ Wizara ya madini Tanzania, Mruma...
9 Reactions
221 Replies
32K Views
Wana Jf. 3 Professor , 3 phd na 2 wengine tarehe 29/3/2017 walichaguliwa na mtukufu rais Magufuli kufanya uchunguzi wa makontena ya makinikia ya acacia yaliyokuwa yanasafilishwa kama utaratibu...
28 Reactions
210 Replies
32K Views
PROF. MUHONGO - PUUZENI UJUMBE HUU WA "IAMtikilla on Twitter Mimi Sospeter Muhongo sijawahi kuyasema hayo yaliyo kwenye "IAMtikilla on Twitter". Niliyasema wapi na lini? Jina langu lisitumiwe...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna kaukimya fulani kanatawala hapa nchini kwa watawala wa chama cha mapinduzi kujitenga kabisa na kile kinachotokea mahakama za kimataifa. Magufuli nakubaliana naye kwamba alichokifanya yeye...
1 Reactions
6 Replies
709 Views
Waziiri wa mambo ya Ndani mh Masauni amesema Hivi karibuni pamezuka tabia ya Viongozi wa Dini kujiingiza Kwenye shughuli za Kisiasa Hii ni kinyume cha sheria Masauni amewataka Viongozi wa Dini...
7 Reactions
74 Replies
5K Views
Si kumuita tu Daktari kuthibitisha tusije tukazika kumbe kazimia? Ila kuzimia gani huku hadi hiki kishindo cha sintofahamu ya kupanda Mishahara ya Watumishi wa Umma mwezi huu ashindwe kuamka...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amesema Serikali imepanga kujenga viwanja viwili vya michezo nchini katika mkoa wa Arusha na Dodoma ili vitumike katika michuano...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
"Tulimpinga Hayati Rais Magufuli kwa miaka mitano hawakusema kwa sababu ni mkristo,Leo tunampinga Rais Samia wanasema kwa sababu ni Muislam,wajinga nyinyi" Godbless...
36 Reactions
79 Replies
11K Views
Binafsi tangu nimejiunga CHADEMA zaidi ya miaka 10 iliyopita nlikuwa nina imani sana na chama changu na nliamini ipo siku tutakuja chukua dola. Muda na chaguzi zilipita lakini hakuna kitu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom