TUCTA ni kama imeaga Dunia, haisikiki kusaidia wafanyakazi kwa jambo lolote!

Si kumuita tu Daktari kuthibitisha tusije tukazika kumbe kazimia?

Ila kuzimia gani huku hadi hiki kishindo cha sintofahamu ya kupanda Mishahara ya Watumishi wa Umma mwezi huu ashindwe kuamka?

Tushirikishane kabla ya kufanya uamuzi wa kuzika au kusafirisha.
Yafaa msafirishe huenda mgonjwa akaamua huko safarini,mkizika moja kwa moja mnaweza maliza pumzi iliyopoteleaamo.
 
Si kumuita tu Daktari kuthibitisha tusije tukazika kumbe kazimia?

Ila kuzimia gani huku hadi hiki kishindo cha sintofahamu ya kupanda Mishahara ya Watumishi wa Umma mwezi huu ashindwe kuamka?

Tushirikishane kabla ya kufanya uamuzi wa kuzika au kusafirisha.
Achana nao hao.. tutatenda dhambi buree...
 
Hivi kwenye vyama vya wafanyakazi kuna mtu kutoka moyoni hugombea nafasi ili awatetee wafanyakazi bila kuwaza posho/marupurupu/safari na maslahi binafsi kweli?

Kama kuna kiongozi yeyote atoe jibu bila kuongea wala kuandika.Aseme na nafsi yake tu.🤔
 
Kazi kuu za CWT na TUCTA mbili

1) Kukusanya michango kutoka kwny .mishahara ya Wafanyakazi

2) ni kuchapisha mi Tisheti oversize na kusambaza kwa Wanachama wao kila Mei mosi

unamkata Mwanachama kila mwezi elf 20 kwa mwaka laki 2 na 40 halafu unampiga tishert la elf 7

hata Mimi kwa mradi huu lazima nikatae u DC
 
Tucta,bakwata ni matawi ya ccm kama ilivyo uvccm.
1967 wakati Wazee wetu wa Kiislam wanapinga kuanzishwa kwa Bakwata walionekana Wabaguzi lakini sasa hivi Kisu kimegeuza Makali ndio wajukuu wa walioanzisha Bakwata nao wanasaga meno
 
Tucta pamoja na mtoto wenu Cwt hela mnazopata kutoka kwenye mishahara ya walimu ni baada ya kufanya kazi gani kama hata kuulizia tu kizungumkuti kilichosababisha kutokuwepo increment ambayo mh Rais aliahidi kuwa itakuwepo kuanzia mwaka wa fedha 2022/2023 na ilikuwa live huku jua linawaka.Tukisema uwepo wenu hauna tija tutakuwa tunakosea?
 
Si kumuita tu Daktari kuthibitisha tusije tukazika kumbe kazimia?

Ila kuzimia gani huku hadi hiki kishindo cha sintofahamu ya kupanda Mishahara ya Watumishi wa Umma mwezi huu ashindwe kuamka?

Tushirikishane kabla ya kufanya uamuzi wa kuzika au kusafirisha.
Watumishi walishaonekana hawajtambui wanafanyiwa makusud Tena Waz waz
 
Tucta pamoja na mtoto wenu Cwt hela mnazopata kutoka kwenye mishahara ya walimu ni baada ya kufanya kazi gani kama hata kuulizia tu kizungumkuti kilichosababisha kutokuwepo increment ambayo mh Rais aliahidi kuwa itakuwepo kuanzia mwaka wa fedha 2022/2023 na ilikuwa live huku jua linawaka.Tukisema uwepo wenu hauna tija tutakuwa tunakosea?
Na hapo utamkuta mwalimu yupo kijjn huko ndan ndan kajchokea mh hii lana cjui watawala wataimalzaje wamekosa huruma kwa kweli!walimu weng watakimbia kaz
 
Back
Top Bottom