Huyu profesa ambaye ripoti yake ya Magumashi imeleta maswali mengi, amekuwa kwenye bodi ya wakurugenzi ya Mgodi wa mwadui lakini mgodi huu umekuwa unatuibia kabla hatujapata uhuru, na ukiangalia maamuzi wanayofanya kama bodi ni wa kinyonyaji ambapo serikali in share 25% . Na kama sijakosea yeye ni mojawapo wa member wa bodi wanaoiwakilisha serikali kwenye mgodi wa MWADUI, his credibility ni questionable...