Godbless Lema: Waislamu teteeni mtu kwa sababu ya haki, msitetee mtu kwa sababu ya dini

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
949
2,865
"Tulimpinga Hayati Rais Magufuli kwa miaka mitano hawakusema kwa sababu ni mkristo,Leo tunampinga Rais Samia wanasema kwa sababu ni Muislam,wajinga nyinyi" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariYetuTemeke.

"Mashehe wengi waliwekwa jela wakati wa Utawala wa Rais Kikwete hawakusema kwa sababu ni muislam,kama Mashehe hao wangewekwa ndani wakati Rais akiwa ni mkristo,nchi hii ingewaka moto,hii ni akili mbovu sana" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariYetuTemeke.

"Leo niwaambie CCM ndio Chama kitakachowaingiza Watanzania kwenye udini kwa sababu akili ya kutawala imefika mwisho kwenye Chama chao" Gobless Lema#MkutanoOkoaBandatiYetuTemeke.

"Chadema tutakwenda kuvunja mipaka ya udini,tutakwenda kuweka haki,usawa na Uzalendo mbele,hii ni kwa maslahi ya nchi yetu Tanzania" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariZetuTemeke.

"Wameingia mkataba wa kijinga kwenye bandari yetu ambayo inategemewa na Zambia,Malawi, Zimbabwe,Congo,Rwanda,Burundi na Uganda" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariZetuTemeke.

"Ndugu zangu Waislamu,teteeni mtu kwa sababu ya haki,msitetee mtu kwa sababu ya dini, Waislamu wengine nakula nao kiti moto na nakunywa nao bia hawamjui Mungu yoyote" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariZetuTemeke.
 
Waislam watajibu hii,Lema awezi kuita waislam wajinga na wakakaa kimya.
.
Screenshot_20230406-212736.jpg
 
"Ndugu zangu Waislamu,teteeni mtu kwa sababu ya haki,msitetee mtu kwa sababu ya dini, Waislamu wengine nakula nao kiti moto na nakunywa nao bia hawamjui Mungu yoyote" Godbless Lema
 
"Tulimpinga Hayati Rais Magufuli kwa miaka mitano hawakusema kwa sababu ni mkristo,Leo tunampinga Rais Samia wanasema kwa sababu ni Muislam,wajinga nyinyi" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariYetuTemeke.

"Mashehe wengi waliwekwa jela wakati wa Utawala wa Rais Kikwete hawakusema kwa sababu ni muislam,kama Mashehe hao wangewekwa ndani wakati Rais akiwa ni mkristo,nchi hii ingewaka moto,hii ni akili mbovu sana" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariYetuTemeke.

"Leo niwaambie CCM ndio Chama kitakachowaingiza Watanzania kwenye udini kwa sababu akili ya kutawala imefika mwisho kwenye Chama chao" Gobless Lema#MkutanoOkoaBandatiYetuTemeke.

"Chadema tutakwenda kuvunja mipaka ya udini,tutakwenda kuweka haki,usawa na Uzalendo mbele,hii ni kwa maslahi ya nchi yetu Tanzania" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariZetuTemeke.

"Wameingia mkataba wa kijinga kwenye bandari yetu ambayo inategemewa na Zambia,Malawi, Zimbabwe,Congo,Rwanda,Burundi na Uganda" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariZetuTemeke.

"Ndugu zangu Waislamu,teteeni mtu kwa sababu ya haki,msitetee mtu kwa sababu ya dini, Waislamu wengine nakula nao kiti moto na nakunywa nao bia hawamjui Mungu yoyote" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariZetuTemeke.
Kweli lakini
 
Yupo sahihi., maana si vyema kumtetea mtu kwa sababu ni ndugu, rafiki, jamaa au Dini yako bari mtetee mtu kwa HAKI.
 
Lema ameusema ukweli mtupu. Hapo mwishoni tu pa kusema kuna waislam wanakula naye kiti moto na kunywa naye bia, japo ni kweli, lakini hakukuwa na haja ya kuyasema hayo. Ni sawa useme kuwa kuna walokole wanazini, hawamjui Mungu yeyote! Kutenda yaliyokatazwa na vitabu vitakatifu ni dhambi, lakini haimaanishi anayetenda dhambi hamjui Mungu yeyote. Kwa nini watu wanatubu? Ni kwa sababu wanakuwa wametenda dhambi. Na hawawezi kutubu kama hawajui kuna Mungu.

Ni kweli wapo waislam wengi wanaokunywa pombe na kula kiti moto, ndiyo maana wakati wa mfungo wa ramadhani unasikia wenye mabaa wakisema kuwa mauzo yamepungua kwa sababu ya mwezi wa ramadhani, lakini hiyo haimaanishi hawamjui Mungu.
 
"Tutakwenda kuvunja mipaka ya udini, tutakwenda kuweka haki, usawa na uzalendo mbele ,hii ni kwa maslahi mapana ya nchi yetu Tanzania" - Nukuu.
"Tulimpinga Hayati Rais Magufuli kwa miaka mitano hawakusema kwa sababu ni mkristo,Leo tunampinga Rais Samia wanasema kwa sababu ni Muislam,wajinga nyinyi" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariYetuTemeke.

"Mashehe wengi waliwekwa jela wakati wa Utawala wa Rais Kikwete hawakusema kwa sababu ni muislam,kama Mashehe hao wangewekwa ndani wakati Rais akiwa ni mkristo,nchi hii ingewaka moto,hii ni akili mbovu sana" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariYetuTemeke.

"Leo niwaambie CCM ndio Chama kitakachowaingiza Watanzania kwenye udini kwa sababu akili ya kutawala imefika mwisho kwenye Chama chao" Gobless Lema#MkutanoOkoaBandatiYetuTemeke.

"Chadema tutakwenda kuvunja mipaka ya udini,tutakwenda kuweka haki,usawa na Uzalendo mbele,hii ni kwa maslahi ya nchi yetu Tanzania" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariZetuTemeke.

"Wameingia mkataba wa kijinga kwenye bandari yetu ambayo inategemewa na Zambia,Malawi, Zimbabwe,Congo,Rwanda,Burundi na Uganda" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariZetuTemeke.

"Ndugu zangu Waislamu,teteeni mtu kwa sababu ya haki,msitetee mtu kwa sababu ya dini, Waislamu wengine nakula nao kiti moto na nakunywa nao bia hawamjui Mungu yoyote" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariZetuTemeke.
Hii ni kauli thabiti na ya kizalendo haswa. Kongole nyingi mno ziende kwa kamanda Lema. Nchi hii kwa sasa inamuhitaji mno mtu wa kariba yake kwa ajili ya ulinzi wa rasilimali za taifa letu.
 
"Tulimpinga Hayati Rais Magufuli kwa miaka mitano hawakusema kwa sababu ni mkristo,Leo tunampinga Rais Samia wanasema kwa sababu ni Muislam,wajinga nyinyi" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariYetuTemeke.

"Mashehe wengi waliwekwa jela wakati wa Utawala wa Rais Kikwete hawakusema kwa sababu ni muislam,kama Mashehe hao wangewekwa ndani wakati Rais akiwa ni mkristo,nchi hii ingewaka moto,hii ni akili mbovu sana" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariYetuTemeke.

"Leo niwaambie CCM ndio Chama kitakachowaingiza Watanzania kwenye udini kwa sababu akili ya kutawala imefika mwisho kwenye Chama chao" Gobless Lema#MkutanoOkoaBandatiYetuTemeke.

"Chadema tutakwenda kuvunja mipaka ya udini,tutakwenda kuweka haki,usawa na Uzalendo mbele,hii ni kwa maslahi ya nchi yetu Tanzania" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariZetuTemeke.

"Wameingia mkataba wa kijinga kwenye bandari yetu ambayo inategemewa na Zambia,Malawi, Zimbabwe,Congo,Rwanda,Burundi na Uganda" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariZetuTemeke.

"Ndugu zangu Waislamu,teteeni mtu kwa sababu ya haki,msitetee mtu kwa sababu ya dini, Waislamu wengine nakula nao kiti moto na nakunywa nao bia hawamjui Mungu yoyote" Godbless Lema#MkutanoOkoaBandariZetuTemeke.
Kwani Extremist Faiza anasemaje?
 
Back
Top Bottom