Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati mawakili wa serikali wakiendelea kunyeshewa mvua ya mawe mahakani kwa mkataba tata wa bandari zetu, shauku yetu kama watanzania na wafia nchi, ningependa kusikia hili la ufujaji wa mapesa...
0 Reactions
0 Replies
486 Views
UTATA WA RAIS KUWA MUAJIRIWA AU MUAJIRI UNAFANANA NA KESI YA KIPI KILIANZA KATI YA KUKU NA YAI! Mi ninavyojua ni kuwa, sisi tunaojiita waajiri wa Rais, tunapomchagua Rais basi ni kuwa huwa...
0 Reactions
2 Replies
877 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Salamu wanajamvi! Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, sisi watanzania ni wanafiki tuna hangaika kuzunguka mbuyu wakati ukweli wote uko bayana. Hapo tuna fail. Rais wa 42, wa Marekani Bill...
40 Reactions
117 Replies
7K Views
Nimeiona kwenye mitandao Leo Waziri wa Uchukuzi wa Zanzibar akiwa kwenye kikao na viongozi waandamizi wa serikali ya muungano kwa maana hiyo kwenye kikao hicho Waziri anawakilisha maslahi ya...
0 Reactions
0 Replies
598 Views
Moja kwa moja kwenye mada, Kwa jinsi mambo yanavyoenda, najiuliza kweli hii tuliyomo ni "level" ya nchi kweli? Au ni familia ya mtu kaamua ajinywee pombe zake na kuamua chochote? Hebu tazama...
27 Reactions
70 Replies
5K Views
DP World waje, tusiogope kushitakiwa nje ya nchi Na Deodatus Balile, Los Angeles, California, USA Hapa Los Angeles kuna tofauti ya saa 10 na Dar es Salaam. Sasa hivi wakati naandika makala...
5 Reactions
30 Replies
4K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa katika Uwanja wa Mashujaa, Mji wa Serikali Mtumba mkoani Dodoma. Rais Samia...
8 Reactions
83 Replies
10K Views
Baada ya ahadi ya nyongeza ya mshahara kupitia vyombo vyote vya habari nchini Kuna mengi yanasemwa na ikizingatiwa kuwa hakuna chanzo sahihi cha taarifa. Inapofikia michakato inatendeka...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wana JF, Tunaendelea na hili jambo ambalo sasa lipo katika ngazi ya familia kabisa. Tunaulizwa majumbani mwetu. Kuna mambo kadhaa ambazo ni facts kabisa katika mkataba huu na...
31 Reactions
149 Replies
10K Views
Kila nikifungua kituo chochote cha TV ni huduma za maji tu. Nikafikiri labda ni hivi vituo vilivyozoeleka ambavyo haters huvihusisha na CCM wakati mwingine lakini kumbe sivyo kwani hata...
4 Reactions
56 Replies
2K Views
Nawasalimia kwa Jina la Jamhuri ya Nchi yetu. Wote tunatambua kuwa wanawake ni watu makini sana na waoga linapokuja jambo lisilo la maslahi kwa Nchi. Hivi Karibuni mkataba wa Tz Bara na Dubai...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Miongoni mwa Wabunge wa Tanzania waliobahatika kuteuliwa kufanya ziara ya siri huko Dubai, yumo mbunge wa Jimbo la Msalala la Mkoani Shinyanga. Taarifa zinaonyesha kwamba Mbunge huyu alivyorudi...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Naomba wale Wajuzi wa historia mnielimishe kidogo ilikuwa Watu wa DSM walimuomba Julius Nyerere awasaidie katika mapambano ya kudai Uhuru Mzee Mohamed Said na Wakili Pascal Mayalla karibuni...
0 Reactions
9 Replies
800 Views
Nchi jirani yetu ya Kenya imekumbwa na matatizo makubwa ya balaa la njaa tangia lock downs za COVID na ukame mfululizo. Pia tangia vita vya Ukraine imekubwa na balaa la upungufu na kupanda sana...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema anesema wakati DP World wakishughulikia yajayo zaidi ya miaka 100 mbeleni Viongozi wetu wanafikiria Uchaguzi mkuu wa 2025 Hapo ndio...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Suala hili linapotoshwa sana bwana Peter Madeleka ni mwanasheria asiyejua kwamba Dubai ni Kati ya state tano zinaunda muungano wa UAE, Nyingine ni Abu Dhabi, Sharjah, Ajman, Umm Al-Quwain, na...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Serikali ya India na Tanzania zimekubaliana kushirikiana katika upatikanaji wa dawa za gharama nafuu ili kuwezesha wananchi kumudu na kupata dawa hizo kwa gharama nafuu zaidi. Hayo yamesemwa na...
2 Reactions
5 Replies
676 Views
Robert Denison joined LALIVE in 2019 and specialises in international commercial and investment treaty arbitration, as well as public international law. He has a particular focus on the energy and...
4 Reactions
59 Replies
10K Views
Ninachojiuliza, kwanini viongozi wa serikali hawataki kubadilisha mapungufu hayo ya mkataba wa DP world au kuufuta kabisa na wanaendelea kuaminisha umma mambo ya uongo? Hivi wabunge hawa...
3 Reactions
2 Replies
977 Views
Back
Top Bottom