Prof. Sospeter Muhongo - Puuzeni Ujumbe Huu!

Prof. Sospeter Muhongo - Puuzeni Ujumbe Huu!

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,429

PROF. MUHONGO - PUUZENI UJUMBE HUU WA "IAMtikilla on Twitter

Mimi Sospeter Muhongo sijawahi kuyasema hayo yaliyo kwenye "IAMtikilla on Twitter".

Niliyasema wapi na lini?

Jina langu lisitumiwe kwenye magonvi yenu. Ni udhaifu mkubwa kutojiamini na kuanza kutumia majina ya wasiohusika!

WhatsApp Image 2023-07-24 at 22.57.47.jpeg
 
Huyu si alikataa kupanda ndege mpaka wamwekee kiti karibu na rubani
 
Hivi Profesa Mruma nani ana research yake aweke hapa. sijamuelewa.
 
Back
Top Bottom