Ni nani aliyemtuma Prof. Mruma na ni lini?

Ni nani aliyemtuma Prof. Mruma na ni lini?

Zero Hours

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12,942
Reaction score
18,693
ba60d06e23f4a85fce56fbcb665afaa1.jpg


Natafakari hapa nimekosa jibu.

Hivi!!!! Aliyemtuma Prof. Mruma Wizarani kuchunguza wizi wa madini yetu ni nani? Na ni lini alitumwa?

Nachoelewa kwenye secta/ Wizara ya madini Tanzania, Mruma hajaingia leo wala jana. Amekuwepo kitambo sana. Sasa inakuaje leo Magufuli ajitamba na kumkingia kifua kuwa alimtuma yeye?

Basi tusema alimtuma kipindi ni waziri. Sasa waziri wa Ujenzi au wa masamaki unahusikanaje na madini?

Dah. Sidhani kama tutafika kwa usanii wa level hii.




[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 

Attachments

  • Mruma.png
    Mruma.png
    33.5 KB · Views: 119
Minatafakari hapa nimekosa jibu.

Aliyemtuma Prof. Mruma kuchunguza wizi wa madini yetu ni nani? Na ni lini alitumwa?

Nachoelewa kwenye secta ya madini tanzania Mruma hajaingia leo wala jana. Amekuwepo kitambo sana. Sasa inakuaje leo Magufuli ajitamba kuwa alimtuma yeye?

Basi tusema alimtuma kipindi ni waziri. Sasa waziri wa Ujenzi au wa masamaki unahusikanaje na madini?..............
Aliyemuweka Magufuli Magogoni ni nani?
Kwani watumishi wa umma wanatumwa na nani?
 
Hahaha kweli wadanganyika yaani nilizima TV baada ya kusikia ule utetezi, hata mwanangu kaniuliza huyo mruma alitumwa lini? Na ripoti inasemaje ni lini alikuwa mtumishi wizarani? Nimemwambia mwanangu pambana na hali yako,

Sent using Jamii Forums mobile app
JPM katafta njia ya kumtetea huyo Mruma anatufanya sisi watoto - sii asseme anaajenda ya siri tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom