Kama ni mfuatiliaji wa mijadala mingi ya wazanzibar, Muungano Wana uchukulia kama ukoloni.
Hawaupendi, hawautaki na hawako tayari kuendelea nao hata lisaa lkn hawana namna ya kufanya kwani hata...
Mwaka 2016/17 Serikali ikifanya maamuzi rasmi ya kuhama Dar es Salaam na kuhamia Dodoma.
Uhamaji huu umepelekea majengo mengi sana ya Jiji la Dar hasa katikati ya Jiji na maeneo ya Jirani kuwa...
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Mhe. Florent Kyombo, tarehe 25 Julai, 2023 ameendelea na ziara yake ya Jimboni.
Katika ziara yake amehudhuria Mkutano wa ndani wa CCM Kata ya Kanyigo na kugawa vitendea...
Kusema CCM inamuenzi Hayati Baba wa Taifa Mwl. Nyerere mimi binafsi napinga kauli hiyo kuwa sio kweli.
CCM haina ubavu wa kumuenzi Mwl. Nyerere kwa vitendo, labda kwa maneno ya majukwaani. Hayati...
Ndugu Watanzania!
Tumeongea Ahobokile Mwaitenda ikiwa ni siku moja baada ya kunusurika kuuawa au kutekwa na watu wasiojulikana. Mwaitenda ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa CHADEMA na alikuwa ni...
Lema ameyasema hayo katika Mkutano wa kupinga Mkataba wa Bandari unaofanyika leo tar 23/7/2023 Temeke, ambapo amesema, Waarabu wanaangalia miaka 100 - 200 mbele wajukuu zao wataishije wabunge wenu...
Wanabodi
Nianze kwa kuchukua tafsiri ya neno Siasa kutoka Wikipedia Dictionary
Politics (from Ancient Greek πολιτικά (politiká) is the set of activities that are associated with making decisions...
Kwa wale ambao hamuijui Chat GPT, hii ni teknolojia ya Artificial Intelligence (Akili Bandia),
Kumekuwa na vuta nikuvute ya huu mkataba, wapo wanaosema mkataba huu ni halali wakiongozwa na spika...
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof Mbarawa amesema pamoja na Serikali kuwekeza tsh 1 trillion pale Bandarini bado performance imekuwa hairidhishi
Tatizo kubwa ni Ukosesefu wa vifaa vya kisasa...
Habari zenu,
Ingawa sikubaliana na hoja za utetezi za viongozi wa serikali na ccm yao kwamba huu SI mkataba Bali ni makubaliano.
Ni ujuha kusubiria embe chini ya mkorosho, Hawa wapuuzi wanaamini...
Maadui wakuu watatu wa Mtanzania yaani Ujinga, Maradhi na Umaskini mama yao ni Uvivu na baba yao ni Tamaa
Watanzania wanaume ni wavivu sana wa kufikiri, wanapenda mteremko na mambo mepesi mepesi...
"... Toka nimeanza ziara vijijini kwenye kila Zahanati Ninayopita kuangalia mwenendo wa utoaji wa huduma za afya kwa Wananchi, Nimekuta kuna akiba ya madawa na vifaa tiba vya kuweza kutumia miezi...
Wengi wetu tunafahamu kuwa matatizo mengi ya nchi hii, hasara na uduni wa maendeleo, vinasababishwa na viongozi wa Serikali.
Iwe ni matumizi mabaya ya pesa ya umma, inasababishwa na maamuzi...
Mbunge wa Babati Vijijini na Mwenyekiti wa Kamati ya bajeti na Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daniel Sillo Julai 22, 2023 amesema ya kwamba wapo waliobeza filamu ya...
Mbunge wa Jimbo la Uzini Mheshmiwa KHAMIS HAMZA CHILO amewasisitiza Viongozi wa Chama na Serikali kushuka chini na kusikiliza kero na Changamoto za Wananchi kwani waliwachagua kwa Imani na Mapenzi...
Jakaya Kikwete kama Rais mbeba maono aliye hai kwa Sasa hapa Tanzania paso na shaka alionao Nyota ya Uongozi Kwa Rais Samia Toka 2001 na akampendekeza kuwa VP na Sasa ni Rais.
My Take...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi (UWT) Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo ameambatana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Magharibi kukabidhi vifaa vya...
Kuna jambo ambalo yamkini watanzania wengi hawaelewi au wanapaswa kueleweshwa zaidi kuhusu maendeleo ya Tanzania na CCM, ikumbukwe tunapozungumzia maendeleo ya Tanzania siku zote hatuwezi iacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.