Sitokuja kusahau kilichotokea katika chama changu CHADEMA. Je, tuamini hayatojirudia tena?

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Jan 9, 2022
449
1,009
Binafsi tangu nimejiunga CHADEMA zaidi ya miaka 10 iliyopita nlikuwa nina imani sana na chama changu na nliamini ipo siku tutakuja chukua dola.

Muda na chaguzi zilipita lakini hakuna kitu kilichoniumiza kichwa kama ghafla kumuona Lowassa anapeperusha bendera ya CHADEMA.

Nlikumbuka sana viongozi wangu mambo mengi mabaya yaliyosemwa juu yake nikawaza sana tutaanzia wapi kumfanya awe msafi nlikosa jibu mpaka sasa sina jibu.

Kifupi nlishamsamehe Mwenyekiti wangu Mbowe na viongozi wengine na bado nina imani na CHADEMA nikiwa nina imani hayatojirudia tena.

Je tuamini hivyo?

JamiiForums-72271314.jpg~2.jpg
JamiiForums-2089014366~2.jpg
 
Binafsi tangu nimejiunga CHADEMA zaidi ya miaka 10 iliyopita nlikuwa nina imani sana na chama changu na nliamini ipo siku tutakuja chukua dola .

Muda na chaguzi zilipita lakini hakuna kitu kilichoniumiza kichwa kama ghafla kumuona Lowassa anapeperusha bendera ya CHADEMA .

Nlikumbuka sana viongozi wangu mambo mengi mabaya yaliyosemwa juu yake nikawaza sana tutaanzia wapi kumfanya awe msafi nlikosa jibu mpaka sasa sina jibu .

Kifupi nlishamsamehe Mwenyekiti wangu Mbowe na viongozi wengine na bado nina imani na CHADEMA nikiwa nina imani hayatojirudia tena .

Je tuamini hivyo ?
View attachment 2697185View attachment 2697187
Wewe hukuuunga juhudi mkono na kuwatelekeza waliokutegemea kupitia chama pendwa kweli😂
 
Binafsi tangu nimejiunga CHADEMA zaidi ya miaka 10 iliyopita nlikuwa nina imani sana na chama changu na nliamini ipo siku tutakuja chukua dola .

Muda na chaguzi zilipita lakini hakuna kitu kilichoniumiza kichwa kama ghafla kumuona Lowassa anapeperusha bendera ya CHADEMA .

Nlikumbuka sana viongozi wangu mambo mengi mabaya yaliyosemwa juu yake nikawaza sana tutaanzia wapi kumfanya awe msafi nlikosa jibu mpaka sasa sina jibu .

Kifupi nlishamsamehe Mwenyekiti wangu Mbowe na viongozi wengine na bado nina imani na CHADEMA nikiwa nina imani hayatojirudia tena .

Je tuamini hivyo ?
View attachment 2697185View attachment 2697187
CHADEMA kiboko ya mafisadi wa bandari zetu madalali wanateseka
 
Back
Top Bottom