Maneno hayo SIO yangu ni ya Mpendwa Wetu HAYATI BABA wa TAIFA Mwl.NYERERE.
BABA wa TAIFA aliamini Uwepo wa hivyo VITU 4 Nchi lazima Ipate MAENDELEO.
Kwa TANZANIA tuna ARDHI ya kutosha yenye Mito...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linazindua taarifa ya mwaka 2023/2024 na Mpango Mkakati wa miaka 10 utakaoanza kutekelezwa katika mwaka wa fedha wa 2024/2025.
Omary Issa aeleza sababu...
Najiuliza hii mikutano kwanini hawakufanya kabla ya kusaini mkataba wananchi tukaelezwa wanayoyasema sasa hivi?
Yaani wanatuona wa Tanganyika hatuna akili kabisa.
Ndugu wana jukwaa ni matumaini yangu hamjambo.
Alikuwa mzalendo kwa nchi kweli kweli, alichukia mikataba ya hovyo, na hata Ile aliyosaini ilikuwa kwa Nia njema ingawa hakuwa na uelewa mpana na...
Leo usiku nilikuwa najisomea namna ya kufanya biashara ya photography studio. Nilijisomea maelekezo mengi mtandaoni. Mabeberu wametoa maelezo ya kutosha jinsi gani unaweza ukafanya hiyo biashara...
1. Kama NCHI ya ZANZIBAR ipo NCHI ya TANGANYIKA ipo wapi?
2. NYERERE alichanganya UDONGO wa NCHI ya TANGANYIKA na NCHI ya ZANZIBAR kwa maana ya kuwa hizo NCHI zimeungana na kuwa NCHI ya TANZANIA...
Watanzania wanashauriwa kukaa kimya kuhusiana na mkataba wa DP World kwasababu kauli zao hazina staha, hazifuati taratibu za kisheria katika uwasilishwaji wake hivyo ni sawa na kelele na usumbufu...
Naam wanajamvi,
Ukisikia mtihani mkubwa ni kama hili Sakata la Mkataba wa DP World na serikali ya Tanzania juu ya uendeshaji wa bandari za Tanganyika. Ukisoma ule mkataba kwa ujumla mpaka hapa...
Huyu ni Makamu wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar ambaye maelezo yake yamenukuliwa na account ya Jussa.
"Wanaozungumza Mkataba mbovu, basi katika mikataba mibovu ya Tanzania, hakuna mkataba mbovu...
Najiuliza sana huyu kijana alikuwa machachari sana kipindi cha JPM. Alikuwa hapitwi na jambo nliwahi kuamini kuwa siku za usoni atakuwa na mchango mkubwa sana.
Toka miaka ile anakuzwa na Chadema...
CHADEMA wanavyoendesha siasa nchini utadhani walikimbia maridhiano kumbe wameamua kung'ata na kuyaelekeza maridhiano kwenye haki ya watu siyo haki kisiasa.
Mzee Kinana aliamini wakitoka kwenye...
Katika moja ya hotuba zake Nyerere alimfananisha mtanzania na bwege mmoja na tumemnukuu alichosema lakini siyo kweli mtanzania ni bwege bali CCM ni pango la wezi wa mali ya umma. Nyerere kwenye...
Katiba ya Zanzibar imeukana Muungano lakini wadanganyika tunaendelea kujidanganya tupo kwenye Muungano wakati hatuko huko.
Katiba ya Zanzibara imetamka wao ni nchi sasa kama wao ni nchi ina maana...
Profesa Anna Tibaijuka kwenye Twitter yake kawaumbua CCM wenzake ambao wameanzisha Twitter feki akaunti na kudai ametengua msimamo wake wa kuukosoa mkataba wa kifisadi wa DP WORLD.
Bila kumumunya...
Nimepita maeneo ya feri Dar es Salaam kwa ajili ya kuvuka kwenda upande wa Kigamboni. Nilichokiona pale kwa kweli kimenifikirisha na kunitafakarisha sana na kunifanya niwaze sana juu ya mustakbali...
Kuna vyama havina misingi aidha havijatengeneza intellijensia Yao wenyewe na kupelekea kiwahiwa.
Mzee Nyerere marehemu alipata kusema...." Rais asipotoka sisiem atatokea upinzani, maana take..."...
Maji tumeshayavulia, hatuna namna isipokuwa kuyaoga! Tanganyika ni nchi yetu, tuanaitaka! Tunaweza kwenda pande zote za dunia, lakini Tanganyika itasalia kuwa nyumbani, turejeshewe.
Kwingineko...
Hili swali linamuhusu Mtanganyika Mzalendo tu. Na Mtanganyika Mzalendo, kwa mujibu wa huu uzi, ni Mtanganyika yeyote anayeipenda nchi yake ya Tanganyika bila kujali anakoishi.
Ikiwa wewe ni...