Huu moto wanaowasha CHADEMA unatisha, umemkumbusha Kinana aliamini Maridhiano yatawafunga mdomo

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
879
4,124
CHADEMA wanavyoendesha siasa nchini utadhani walikimbia maridhiano kumbe wameamua kung'ata na kuyaelekeza maridhiano kwenye haki ya watu siyo haki kisiasa.

Mzee Kinana aliamini wakitoka kwenye maridhiano basi CHADEMA watanyamaza kusema kumbe ndio kwanza wamefungulia kusema. Kinana aliamini watawaabudu kumbe wao wala maridhiano haikuwa big deal waliheshimu tu Watanzania wasiopenda mafarakano.

Walipochemsha CCM nikuendelea kuwategemea akina Wasira kwenye siasa za majukwaani, kuwategemea akina Kinana kwenye siasa za majukwaani, kuwategemea akina Mkumbo kwenye siasa za majukwaani huku wakijua kabisa Mkumbo hata wapiga kura wake awezi kuwaita washiriki mikutano.

CHADEMA wao wamewekeza kwenye miamba ambayo haina kashfa, siyo wezi na wamesoma. Wamewekeza kwenye vijana kuliko wazee. Wamewekeza kwenye ukweli kuliko propaganda.

Niwataadharishe CCM tu kwamba hakuna maridhiano wanaweza kufanya na CHADEMA yakakiua chama kama walivyofanya kwa CUF na ACT, CHADEMA wanazoom fursa ya kisiasa kimakakati siyo kiuchumi pekee.

Walitaka ruzuku na wamepata, walitaka kuendesha mikutano na wamepata fursa, walitaka waachiwe kutoka magereza wameachiwa na wanasonga mbele.

Hata mwalimu alitumia mbinu za kuzunguka wakoloni kisiasa na kufanikiwa kumpoka madaraka. Viva CHADEMA songeni mbele nchi irudi kwenye sense zake. elimu mnayotoa si kitu kidogo.
 
Hii nchi ilipofika inataka kufanyiwa system Reboot/Reset , kwani tulipofika siyo pepesi tena. Kuna mambo mengi ya kuliangamiza Taifa hili yamekuwa yakifanyika kama vitu vya kawaida na CCM wamekuwa wakiyachekea, hawakujua kama yanawapeleka kwenye escape phenomenon kama hivi.
 
Kuna moto gani umewashwa. Mbona hakuna chochote tunachoona
 
Samia alivyo desperate kusafishwa majukwaani atawapa ccm hela nyingi kwa kazi hiyo, kumbe watazitumia kutengeneza mitandao ya kumtoa 2025, wameshajua hauziki.
Kazi iendelee kumbe ye anaiba
 
Hii nchi ilipofika inataka kufanyiwa system Reboot/Reset , kwani tulipofika siyo pepesi tena. Kuna mambo mengi ya kuliangamiza Taifa hili yamekuwa yakifanyika kama vitu vya kawaida na CCM wamekuwa wakiyachekea, hawakujua kama yanawapeleka kwenye escape phenomenon kama hivi.
Baada ya kushindwa kuutetea mkataba wa bandari na vifungu vyote ccm wanawatumia ma sheikh wa kiiskamu waseme tunamwandama mama Kwa vile ni muislam
 
Walitaka ruzuku na wamepata, walitaka kuendesha mikutano na wamepata fursa, walitaka waachiwe kutoka magereza wameachiwa na wanasonga mbele
Siasa ni akili, Sasa CCM wanamtegemea Lucas mwashambwa eti, au Yule Dogo waliyemfanya Katibu mwenezi wa CCM
IMG-20230729-WA0068.jpg
IMG-20230729-WA0069.jpg
 
CHADEMA wanavyoendesha siasa nchini utadhani walikimbia maridhiano kumbe wameamua kung'ata na kuyaelekeza maridhiano kwenye haki ya watu siyo haki kisiasa.

Mzee Kinana aliamini wakitoka kwenye maridhiano basi CHADEMA watanyamaza kusema kumbe ndio kwanza wamefungulia kusema. Kinana aliamini watawaabudu kumbe wao wala maridhiano haikuwa big deal waliheshimu tu Watanzania wasiopenda mafarakano.

Walipochemsha CCM nikuendelea kuwategemea akina Wasira kwenye siasa za majukwaani, kuwategemea akina Kinana kwenye siasa za majukwaani, kuwategemea akina Mkumbo kwenye siasa za majukwaani huku wakijua kabisa Mkumbo hata wapiga kura wake awezi kuwaita washiriki mikutano.

CHADEMA wao wamewekeza kwenye miamba ambayo haina kashfa, siyo wezi na wamesoma. Wamewekeza kwenye vijana kuliko wazee. Wamewekeza kwenye ukweli kuliko propaganda.

Niwataadharishe CCM tu kwamba hakuna maridhiano wanaweza kufanya na CHADEMA yakakiua chama kama walivyofanya kwa CUF na ACT, CHADEMA wanazoom fursa ya kisiasa kimakakati siyo kiuchumi pekee.

Walitaka ruzuku na wamepata, walitaka kuendesha mikutano na wamepata fursa, walitaka waachiwe kutoka magereza wameachiwa na wanasonga mbele.

Hata mwalimu alitumia mbinu za kuzunguka wakoloni kisiasa na kufanikiwa kumpoka madaraka. Viva CHADEMA songeni mbele nchi irudi kwenye sense zake. elimu mnayotoa si kitu kidogo.
CHADEMA wanavyoendesha siasa nchini utadhani walikimbia maridhiano kumbe wameamua kung'ata na kuyaelekeza maridhiano kwenye haki ya watu siyo haki kisiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom