Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akihutubia Umati wa watu wengi waliokusanyika kusikiliza Mkutano wenye lengo la kuelimisha wananchi juu ya Mkataba wa DP World na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama agizo la serikali liliowataka...
17 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari zenu wanaJF wenzangu, Ndugu zangu katika maisha yangu yote sijawahi kushuhudia vita nyepesi, na ya kipuuzi kama hii. Vita hii ni tofauti na ile ya kisiasa ya Sudan kati ya kiongozi wa RSF...
6 Reactions
70 Replies
4K Views
Kama unabisha waulize chawa wa CCM kama hawajanunuliwa kama nyanya sokoni. Au nenda majimboni ujiridhishe kati ya Mbunge na Mwananchi nani alimtongoza mwenzake. Nakumbuka Waswahili wa Dar es...
1 Reactions
6 Replies
423 Views
Sakata la DP world limeuwaunganisha watu sasa wote tunaongea lugha moja. Asante Lissu Asante wafuasi wa Hayati Magufuli asanteni watanzania wazalendo Rais Samia kazi anayo. Wafuasi wa Magufuli...
9 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania, Unatakiwa ujitoe ufahamu,ujizime akili na kujifanya kichaa na mwendawazimu kuamini neno lolote litakalo katika mdomo wa Tundu Lissu. Ni ujinga wa hali ya juu sana kwa mtu...
7 Reactions
121 Replies
7K Views
Leo nilikuwa na kiongozi mmoja wa kitaifa wa ACT ambaye amenitonya haya kuhusu ukimya wao kuhusu issue ya makataba wa bandari na DP World. 1. Mapema June walikuwa na mikutano ya chama wakizinguka...
23 Reactions
41 Replies
5K Views
Jana EWURA walitangaza bei mpya ya mafuta kwa ongezeko kubwa na la kutisha!! Ajabu tunadanganywa kuwa ukosefu wa DOLLARS ndo kisababishi!! Kivipi?? Algeria wananunua mafuta kwa Tsh 850 tu kwa...
7 Reactions
112 Replies
6K Views
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Cuba Humphey Polepole Agosti 2, 2023 baada ya kufika nchini Cuba kwa ajili...
1 Reactions
3 Replies
888 Views
Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema mh John Heche.amesema Wameshaingia Chato na sasa wanafanya mkutano wao wa kwanza Heche amesema Watagonga Mikutano mingine minne na hawaogopi chochote wako...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
BASHUNGWA: JKT TUPO MSTARI WA MBELE KUWAPIKA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA KILIMO "Maono na uwekezaji Mkubwa unaofanywa na serikali ya Awamu ya Sita (6) inayoongozwa na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Samia...
0 Reactions
0 Replies
409 Views
Imeelezwa kuwa Tanzania imesaini mikataba 19 ya uwekezaji wa nchi na nchi (BIT) hadi kufikia mwaka 2022, ambayo baadhi yake bado haijaridhiwa. Akizungumza leo Agosti 02, 2023 katika mjadala wa...
0 Reactions
1 Replies
794 Views
Unakubali kuwa waziri? Ndio nakubali haya Mimi mwananchi ntamlipa Kodi ili ulipwe mishahara Sawa? Sawa asante Unakubali kuwa Mbunge?ndio nakubali!Sawa Mimi mwananchi ntalipa Kodi ulipwe...
2 Reactions
3 Replies
452 Views
Nimefuatilia kwenye Online TVs za YouTube mikutano ya CHADEMA leo J'tano ya kuimarisha chama chao waliyoipa jina la Operesheni +255 - Katiba mpya na Okoa bandari zetu.. Leo Freeman Mbowe...
15 Reactions
28 Replies
5K Views
By Bondpost, Africa imekuwa na watu wenye fikra tegemezi miaka yote hata hii move ya Waafrika kushabikia China, Russia na North Korea ni sehemu ya muendelezo wa fikra temegemzi. Africans...
1 Reactions
3 Replies
545 Views
Wakati Rais Samia anaanza Urais wanasiasa wengi akiwemo na Mama mwenyewe walianza nyimbo za kumtukuza na kumsifu Kikwete lakini wananchi hawakuhangaika nao. Sasa CHADEMA wako kanda ya ziwa...
6 Reactions
10 Replies
880 Views
Katika muendelezo wa kutoa elimu kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya , ikiwa ni pamoja na Kuelimisha kuhusu ubovu wa Mkataba wa Kitumwa wa Bandari na DP WORLD , Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Awamu ya Pili ya mpango kabambe wa kuwaamsha wananchi wa Tanzania kudai Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, ambao sasa umeongezewa kipengele cha "Okoa Bandari Zetu," unaanza rasmi 28/07/2023...
19 Reactions
62 Replies
5K Views
Viongozi wa wilaya wamefika nyumbani kwa familia ya mwendazake kwa ajili ya kuwasilisha taarifa ya Mh. LISSU kufika hapo. Familia kwa unyenyekevu mkubwa wameridhia kwa masharti ya kupata baraka...
12 Reactions
42 Replies
5K Views
Habari Watanzania, Hivi kweli nchi ya Tanzania, Mwigulu aliyeibuliwa na JK, baada ya sakata la Escrow, kijana wa kazi chafu kabisa kutokea huko UVCCM wkt huo...mkaona ndie awe mtunga sera namba...
38 Reactions
113 Replies
8K Views
Hatimaye, malalamiko ya watanzania kuhusu uhalali na vipengele vya Mkataba kati ya Tanzania na Emirati ya Dubai kupitia Kampuni ya DP World yamewafikia na kuwashtua wahusika. Taarifa za uhakika...
23 Reactions
136 Replies
11K Views
Back
Top Bottom