Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Daaaaaaaaaah Kuna maslahi gani ya ziada kati ya CCM yetu na mkataba wa DPW ?? Budget ya hii mikutano kuhusu kinachoitwa ELIMU ya mkataba wa DPW imetoka wapi ?? Kwanini imekuwa ghafla na kwa CCM...
1 Reactions
3 Replies
718 Views
Hili sakata la bandari ili kulituliza wanatumia propaganda za udini sasa. Kama mnakumbuka miaka ya nyuma CUF ilivyoipa shida CCM mpaka kueneza propaganda chama cha udini. Ikaja CHADEMA kikasemwa...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Ni rahisi sana kuwagawa watanzania kwa misingi ya dini zao na CCM wanalifahamu vizuri jambo hili. Hata kama kuna jambo baya sana kwa maslahi ya nchi yetu ukitaka likubalike basi wewe lipake...
26 Reactions
111 Replies
7K Views
Mtangazaji wa kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM, Gerald Hando amesema asilimia 99 ya Watanzania wanaoongelea suala la Ubinafsishaji wa Bandari hawajui chochote kuhusu suala hilo na wengi wao...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Ndugu zangu Bwana wa Mbiguni akawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake na imekua. Nijikite kwenye mada moja kwa moja na kama kichwa cha habari kinavyohusika. Nakumbuka kipindindi cha Mwendazake...
3 Reactions
5 Replies
737 Views
Inadaiwa kuwa wakazi wa Bomani, Tarime mjini wamekuwa hawapati maji safi na salama kwa zaidi ya wiki moja sasa. Pia, inadaiwa kuwa wananchi hao hawapati ushirikiano wa kutosha kutoka kwa mamlaka...
2 Reactions
2 Replies
722 Views
Hakika inabidi tukupe hongera kubwa sana mama Samia, umetufundisha Watanzania kuwa "matendo huongea kwa sauti kuliko maneno" (actions speaks louder than words). Tukitazama mitandaoni na jinsi...
17 Reactions
62 Replies
3K Views
Msomi wa vitabu Hayati Benjamin Mkapa alikuja na kauli mbiu ya UKWELI NA UWAZI sikumielewa sana kipindi kile. Ilikuwa ni kauli mbiu ya kisomi sana kwa mtu wa kawaida kung'amua. Katika harakati...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Hili ni gazeti lililojizolea sifa kwa uandishi makini na wa kina. Tangu suala la kuuzwa kwa bandari zetu lianze, limejiunga na kundi la vijarida vya hivyo kama Wamachinga, Jamvi la habari, uhuru...
8 Reactions
56 Replies
4K Views
Tangu mjadala wa BANDARI kuanza sijamsikia Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Kinana akizungumzia Mkataba wa Bandari, au ameshagundua hili ni bomu linaloweza kuua Chama. au kama kuna clip mnayo ya...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Msigwa alisema maneno hayo Julai 24 katika mkutano na waandishi wa habari ambapo yeye pamoja na Kamishna wa TANAPA walikuwa wakitoa ufafanuzi kuhusu Hifadhi za Taifa.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Chama kilicho safi huwa kinakuwa na taswira nzuri kwenye jamii. Na huwa kinakuwa ndio kielelezo cha namna gani viongozi wanapaswa kupatikana na namna viongozi safi wanatakiwa kuwa. Sasa kama...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Nikiangalia video ya Prof Maruma naona aibu sana jinsi watoto wadogo kama ingekuwa kwetu alishawapiga ban ya kuwafuta na kuwa wakulima. Tanzania tuna watu wenye uwezeo ila wajinga wamepewa...
5 Reactions
2 Replies
800 Views
#Dkt. Biteko Atangaza Fursa uwekezaji Sekta ya Madini St. Petersburg – Urusi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amemwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau habari, Moja ya ahadi za Mwana- CCM ni hii Rushwa ni Adui wa Haki Sitapokea wala kutoa Rushwa. Ahadi hiyo imethibitika kushindikana ndani ya CCM kama Chama Tawala na SERIKALINI kwa sababu...
1 Reactions
7 Replies
731 Views
Nakutia moyo na kukuombea sana Rais wangu Dkt. Samia Suluhu Hassan, kazi unayoifanya si ndogo na inahitaji moyo na ustahmilivu kuifanya. Usiogope. Wewe sio wa kwanza na wala hutakuwa wa mwisho...
2 Reactions
6 Replies
781 Views
Hii imekaaje kwa Serikali kutumia pesa za umma kukarabati viwanja ambavyo CCM ilishirikiana na serikali kupora viwanja vya umma ambavyo ni wazi CCM wameshindwa kuvitunza na sasa CCM inataka...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Lissu anasema Rais ni kiongozi wa kisiasa na kama ni kiongozi wa kisiasa, tunapsawa kushughulika nae kama kiongozi wa kisiasa anasema Rais anapaswa kusemwa, kuonywa, kukaripiwa. Anasema kauli...
18 Reactions
36 Replies
2K Views
Wabongo nazani itawachukua miaka 500 kuja kuelewa kwamba shida kuuu ya nchi hii sio mtu bali ni hiki Chama. Chama na katiba ndio shida na wala sio watu. CCM wanacho kuwa wamafanya kila chaguzi...
0 Reactions
3 Replies
473 Views
Back
Top Bottom