Tundu Lissu: Hayati Magufuli alisema ni kichaa peke yake anaweza kukubali mkataba wa miaka 99 bandari ya Bagamoyo

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
949
2,865
Mimi nilikuwa namchukia sana Magufuli siwezi kumsingizia neno,

"Magufuli alisema Mkapa na Kikwete wameuza nchi kwa mikataba mibovu akaanza kuivunja mikataba yote,tukashtakiwa" Tundu Lissu#MkutanoOkoaBandariZetuNyakanazi.

"Magufuli alisema awa Wazee wameharibu sana nchi,tukamwambia washughulikie akasema waacheni Wazee wapumzike" Tundu Lissu#MkutanoOkoaBandariZetuNyakanazi

"Magufuli alisema ni kichaa peke yake anaweza kukubali mkataba wa miaka 99 bandari ya Bagamoyo,kaja Nani kama Mama kauza zote milele" Tundu Lissu

"Mwizi ni mwizi tu" Tundu Lissu
 
Rais bora wa karne
JamiiForums1045421092.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi niwaambie tu hii mikataba itabaki kua siri tu usikute haya ya DP world kuna ambayo washakubaliana huko na hatuyajui baada ya miaka mingi ndo yatakuja kua wazi kama mikataba mingine ya hovyo ambayo wazungu washatupiga sana tu.. na usishangae pia akaja rais mwingine akaivunja kiajabu ajabu bila kufuata taratibu na sheria. Mi kama mtazania nasema kama serikali ishakubaliana na hayo makampuni kuwekeza waache wawekeze lakini waweke vipengele vya kisheria ambavyo haviatifunga tanzania kama ilivyo sasa nchi inaburuzwa mahakamani kila kona kisa tu magu kuingilia io mikataba pasipo kuzingatia sheria japo mi naamini alikua na nia nzuri kabisa
 
Hiyo ni 1. Pili Samia na Tulia waondolewe kinga. Ili ikitokea waweze kuuwawa
 
Back
Top Bottom