Profesa Anna Tibaijuka awashushua waliodai kageuka jiwe mkataba wa DP WORLD

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,174
Profesa Anna Tibaijuka kwenye Twitter yake kawaumbua CCM wenzake ambao wameanzisha Twitter feki akaunti na kudai ametengua msimamo wake wa kuukosoa mkataba wa kifisadi wa DP WORLD.

Bila kumumunya maneno kawakemea vilivyo ya kuwa hiyo akaunti ya Twitter ni feki na misimamo yake dhidi ya mkataba wa DP WORLD ni ngangali.


PSX_20230730_111500.jpg
 
Huyu mama ni msomi ma mwenye mapenzi ya nchi yake kwenye mambo ya kimsingi ni jasiri kutetea haki za vizazi vijavyo za kujitawala.

Yaani hadi ANGA wamebinafsisha kweli bado tunao viongozi kweli?



PSX_20230730_112712.jpg
PSX_20230730_112732.jpg
 
Magufuli alimuambia anna tibaijuka kuwa nani kamuambia maprofesa huwa wanastaafu? Akamuambia maprof huwa hawastaafu.
 
Wajinga wanafanya mambo.ya kujiaibisha sana, huyu mama anajielewa sana, kichwani yuko vizuri kupitiliza, hizo ndio sifa za msomi kamili, hakuna kujipendekeza, kwenye white iwe white, na kwenye black iitwe black bila kujali utamkwaza nani.
 
Hadi sasa timu ya WAZALENDO bila kujali vyama, dini, kabila, katika HOJA hii ya mkataba wa Bandari,

Hadi sasa ni 7-0.💪💪💪
 
CCM ni alama ya uovu. Kama wanathubutu kutengeneza akaunti fake ya mtu kama Anna Tibaijuka, ni mangapi fake wanayoyatengeneza?
 
Back
Top Bottom