Moja ya changamoto iliyukuwa inamuuzi Mwendazake Enzi za utawala wake ilikuwa ni poor communication miongoni mwa wizara yaani mawaziri wao Kwa wao hawawasiliani kabisa hawabadilishani uzoefu.
Ili...
Ni siku kadhaa sasa tangu Kesi ya kubatilisha mkataba wa Bandari ipelekwa mahakamani ,na Tarehe 7/8 tulitegemea kusikia maamuzi ya mahakama juu ya .mkataba huo(Judgment) kwa bahati mbaya Judgment...
Nawakumbusha tu kuwa mkataba wa IPTL uliingiwa kati ya nchi yetu na IPTL ya Malaysia mwaka 1994 ambapo rais alikuwa Mwinyi.
Rais Mwinyi ni Mzanzibar.
cc johnthebaptist
Hili ndio swali ninalojiuliza kuwa kamatakamata hii kwenye siku hii ,ya leo yenye attention kubwa ya mpira wa Yanga na Simba imetokea kama coincidence au ni mpango mkakati?
Labda niulize kwanini...
MBUNGE SUBIRA MGALU AKIWA KATIKA ZIARA MBALIMBALI NDANI TANZANIA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu ameendelea na ziara mbalimbali na kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM...
👇
---
Leo August 12, 2023 Tundu Lissu kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuhusu kukamatwa kwa Mdude Nyagali na Wakili Mwabukusi. Katika kutoa maoni yake kuhusu jambo hilo ameandika:
Bonnie...
Nimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa!
Ni ajabu ni matusi na vijembe na...
Manispaa ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro imeingia kwenye Kashfa kubwa hasa baada ya mwaka 2015 pale Uongozi ulipobadilika.
Kabla ya mwaka 2015 , mkoa ulikuwa unajengeka, msafi na una maendeleo...
Nasoma post nyingi hapa zimeondoka kwenye hoja na kuhamia kwenye Udini; mfano kamata kamata inayoendelea na idadi ya wapinga hoja ya bandari imeleta picha kwamba watu dini moja kwa pamoja bila...
Wakili Mwambuksi amekamatwa majira ya saa nane usiku huko mikumi mkoani morogoro kilichonishangaza je wakili huo hadi anakamatwa majira hayo aliitwa na jeshi la polisi akakataa wito? Au wameona ni...
Juzi tumemsikia Raila Odinga akisema rais Samia alikwenda Nairobi kwa lengo la kuwapatanisha Raila na Odinga katika tafrani zao za kisiasa.
Sisi watanzania tunajiuliza inakuwaje rais wetu kwenda...
Ninajitolea kwa dhati ya moyo wangu na kwa nguvu zote kufanya research kwa nn chadema imepuuzwa na wananchi. Na kwa nn wananchi wameamua kuiunga mkono serikali
Nitaandaa makala zote kwenye ziara...
Hawa vijana mliowaweka kwenye hospitali mbalimbali kuhakiki kadi za bima kwa wagonjwa ni kero kubwa mno.
Naandika haya kwa masikitiko makubwa kwani hawana customer care nzuri na wanauliza maswali...
Bila ya shaka hadi sasa mtakuwa mmeshapata habari kuwa Mhe. Kikwete ameteua mabalozi wapya. Wengi wao ni wapya na wengine ni wa zamani. Wengine haina hata mantiki sijui kwa nini wamepewa ubalozi...
SHERIA YA KUTOKUSHTAKIWA RAIS NDIO RUSHWA KUBWA KULIKO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Takukuru kazi yenu bado itakuwa ngumu ikiwa kuna sheria ambazo zinatoka Rushwa Kwa baadhi ya makundi ya...
Hii sakata la bandari lina vita kubwa sana za kiuchumi kati ya UAE na nchi ya Belgium katika kuthibiti madini ya DRC.
Hivi karibuni serikali za UAE na DRC waliwekeana mktaba mkubwa wa uchimbaji...
Mwenye uelewa atueleweshe, je, kiganja cha mkono chenye simu mkononi kinaweza kuwa mbadala wa silaha zitumiwazo na wanajeshi au askari kufanya mapinduzi ya kiuhaini?
Wana JF wenye uzoefu na...
Moja kati ya viongozi jasiri kabisa kuwahi kutokea barani Afrika, kijana mdogo na mzalendo kwa Taifa lake na Afrika kwa ujumla; Capt. Ibrahim Traolè, Rais wa mpito wa Burkina Faso, amewaasa vijana...
Huyo ndio Pedeshee Amos Makalla Bwashee 😄
Kamleta Diamond Platinum Kufanya Show ya bure jirani kabisa na ulipo Mkutano wa Chadema
Tunasubiri Choppa itue tuone Wasukuma watakimbilia wapi ola...
Unakimbuka shule ya Shauritanga ilipoungua na kuua wasichana 50 +, Waziri Mkuu Malecela aliwaita Scotland Yard. Kwa sababu ya ukubwa wa tatizo.
Juba tofauti gani na sasa ambapo Waziri Biteko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.