Nchi hii haijapata chama sahihi cha upinzani

Russia is not your enemy

JF-Expert Member
Feb 19, 2023
373
612
Kuna vyama havina misingi aidha havijatengeneza intellijensia Yao wenyewe na kupelekea kiwahiwa.

Mzee Nyerere marehemu alipata kusema...." Rais asipotoka sisiem atatokea upinzani, maana take..." Hays ndani ya sisiem kina upinzani. Nahisi hili ndilo linaweza kutokea, ama tuaeme liliishatokea hayati magu alikuwa na upinzani mkali ndani ya chama.

Lkn pia Nyerere alimaanisha upinzani si lazima mdani ya chama chake, tlp, dp, cuf,nccr nk nk, Kuna chama sijakitaja hapo, hikin naona kinatuchanganga tuu.

Kuna vyma vyama vina malengo binafsi.

Kwa upande wa sisiem wananchi wameshapoteza matumaini.

Tatizo Hawa Marais wanashindwa kuona, haiwezekani kina watu wanaporomosha magorofa wengine hata mfuko was cement anashindwa, ni wkt wa magufuli binafs kama mimi niliweza kiendeleza ujenzi wangu kwa sabab nilifanya kazi halali. Ya uwezo na kipawa changu na kusomea.

Baada ya kuingia utawala mwingine mambo yamebadikika 100%

Ikawa imerudi Ile kanuni ya jungle the survivor for fittest. Magu alifanya makosa asilimia 50% mazuri 50%
 
Tanzania Bora hat ya upinzani,kinacjofanywa na Chama tawala ni zaidi ya usallti
 
Ungejua kuandika,ungejua maana ya upinzani.
Pole sana.
 
Vyama vya upinzani vipo kenya na Afrika kusini
Hapa nchini ukitaka kuanzisha saccos yako na wewe anzisha
Tungekuwa na vyama vya upinzani vya kweli ccm isingekuwa madarakani mpaka leo.
 
CCM ipo madarakani hadi leo kwa kuwa Chadema na ACT vimechagua kuwa Chawa wa Chama hicho kwa namna yake
 
Vyama vya upinzani vipo kenya na Afrika kusini
Hapa nchini ukitaka kuanzisha saccos yako na wewe anzisha
Tungekuwa na vyama vya upinzani vya kweli ccm isingekuwa madarakani mpaka leo.
Acheni kujitoa ufahamu! Mtoto wa Mzee Abeid Aman Karume, Rais wa kwanza kule Zenji, alishasema ukweli!
 
Back
Top Bottom