Nimepita maeneo ya feri Dar es Salaam kwa ajili ya kuvuka kwenda upande wa Kigamboni. Nilichokiona pale kwa kweli kimenifikirisha na kunitafakarisha sana na kunifanya niwaze sana juu ya mustakbali...
Kuna vyama havina misingi aidha havijatengeneza intellijensia Yao wenyewe na kupelekea kiwahiwa.
Mzee Nyerere marehemu alipata kusema...." Rais asipotoka sisiem atatokea upinzani, maana take..."...
Maji tumeshayavulia, hatuna namna isipokuwa kuyaoga! Tanganyika ni nchi yetu, tuanaitaka! Tunaweza kwenda pande zote za dunia, lakini Tanganyika itasalia kuwa nyumbani, turejeshewe.
Kwingineko...
Hili swali linamuhusu Mtanganyika Mzalendo tu. Na Mtanganyika Mzalendo, kwa mujibu wa huu uzi, ni Mtanganyika yeyote anayeipenda nchi yake ya Tanganyika bila kujali anakoishi.
Ikiwa wewe ni...
Historia ya Tanzania imetoka mbali. Tangu inapata uhuru mnamo 09.12.1961 Hayati Baba wa Taifa Mwl J.K.Nyerere anakuwa waziri mkuu wa Tanganyika huru.
Mwaka 1962 Tanganyika anakuwa Rais wa Kwanza...
Nimestaajabishwa Sana na baadhi ya mwanasiasa kufikia kukodi helikopta kupita kijiji kwa kijiji kana kwamba tupo kwenye kampeni za ugombea nafasi za uongozi wa kitaifa,sioni mantiki ya jambo hili...
Kwa vyovyote vita ya conquest iiliyoanzishwa na Urusi dhidi ya Ukraine ni tabia ya kizamani sana hata kabla UN haijaundwa na diplomatic channels kufunguliwa duniani.
Vita hiyo imeirudisha dunia...
Tujadili namna Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unavyoathiri utanganyika wetu
Tujadili mambo ambayo yanaua Utanganyika wetu
Tanganyika yetu inafifia au kufa kabisa kwa sababu inamezwa na...
Watanganyika wanaitaka Tanganyika yao! Msipowapa kwa hiari watajitwalia wenyewe kwa namna nyingine!
Watanganyika wanaitaka Tanganyika yao! Msipowapa leo kwa heshima watajichukulia wenyewe kesho...
Wakuu , habari za Jumapili , Baada ya Salamu hii nawaletea hapa ratiba ya leo ya Oparesheni 255 Katiba mpya , Okoa Bandari Zetu .
Hii ni ratiba ya mikutano ya hadhara kwenye Jimbo la Kyerwa...
Nimesikia hotuba ya leo na sikuamini masikio yangu niliposikia Rais anatamka mar zote kwamba leo ni siku ya miaka 55 ya uhuru wa "Tanganyika".
Kwanza nilidhani anakosea lakini kadiri alivyoirudia...
Utangulizi:
slogan ya mwanamasumbi mashuhuriTanganyika ajulikanaye kama mandoga ni kwamba UKINIPIGA KAMA NIMEKUPIGA NA NIKIKUPIGA KAMA NIMEKUPIGA ni Jana tumeona mandonga akichezea kichapo kutoka...
MBUNGE NGASSA: "HAKUNA KATA AMBAYO HAIJAPATA MRADI WA MAENDELEO"
"... Ilani ya Chama (CCM) inatekelezwa kwa ufasaha ndugu zangu, Chini ya uongozi wa Mama Yetu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Nafahamu fika kwamba, hata CCM wenyewe hawawezi kumpa kura Rais Samia.
Na kwa jinsi mambo yalivyo magumu mitaani, watu wanavyomsema, watu walivyomchoka, yeye mwenyewe anajaribu tu kuchungulia...
MBUNGE EMMANUEL CHEREHANI - SIKU 645 BUNGENI, MIKUTANO 235 YA HADHARA
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Kahama-Shinyanga Dkt. Mhe. Emmanuel Cherehani mpaka sasa ametimiza SIKU 645 BUNGENI na kufanya...
Hii combination
Shujaa Magufuli, Mzee Mangula, Dr Bashiru, Komredi Mpogolo, Komredi Polepole
Hii Timu iliwafanya Wakuda na Mataga watembee Vifua.mbere
Wewe unaikumbuka kwa lipi?
Mlale Unono
Utangulizi:
slogan ya mwanamasumbi mashuhuriTanganyika ajulikanaye kama mandoga ni kwamba UKINIPIGA KAMA NIMEKUPIGA NA NIKIKUPIGA KAMA NIMEKUPIGA ni Jana tumeona mandonga akichezea kichapo kutoka...
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Amos Makalla amesema wanaopinga uwekezaji wa bandari za Tanzania hawana maono na maendeleo yanayoletwa na serikali.
Akizungumza wakati wa mkutano unaofanyika jijini Mwanza...
Rais mstaafu wa Nigeria amefanikiwa kuwakutanisha Rais Ruto na hasimu wake Raila Odinga
Kenya sasa Wana matumaini ya Amani kurejea baada ya Watu zaidi ya 30 kufa kwenye maandamano
Mlale Unono 😃
Shughuli za usafirishaji wa abiria kupitia usafiri wa pikipiki na bajaji mkoani Katavi zimesimama kutokana na ukosefu wa mafuta ya petrol na dizeli kwenye vituo vya kuuzia mafuta, hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.