Maulid Kitenge na wenzie walitamba mitandaoni kuwa wanakwenda kufanya mahojiano na DP world na kuleta majibu juu ya maswali ya watanzania!
Maswali makubwa mawili yakikuwa!
1. Mkataba ni wa muda...
Upinzani wacheni kupiga mekelele wala huko mahakamani hakutokusaidieni kitu ,subirini kama mkijaaliwa kushinda 2025,tuone yenu.
Ninachokiona walichonacho hawa vikoti kama askari wa magereza ni...
Je kwa hili bunge ambalo halisaidii serikali swali ni Je imefika wakati wa kuwa na bunge la seneti?
Bunge hili mfumo unaweza kubadilika lakini mifumo ya wenzetu ni sawa na seneta wawili kwa kila...
Nilikua nikipita mitaani utasikia mama anaupiga mwingi,watoto utawasikia mama anaupiga mwingi,wanakina mama na kina baba utawasikia mama anaupiga mwingi,mashuleni na vyuoni nako,madaktari na...
Wawekezaji wa bidhaa za dawa na vifaa tiba kutoka India wavutiwa kuwekeza Tanzania ambayo pia ni mlango wa sahihi wa kulifika soko la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Nchi za Kusini...
Serikali ya Tanzania imepongezwa kwa kufanya mageuzi makubwa katika Sekta ya Afya pamoja na kutoa ushirikiano kwa mashirika ya kimataifa hususan Shirika la Afya Duniani (WHO).
Pongezi hizo...
Kwanza nianze Kusema kuna Mgao wa umeme. Narudia tena kuna Mgao wa umeme.
Napenda kuhoji kwanini Chande Maharage hajatangaza huu mgao wa umeme, ni mara chache mno tunakuwa na mgao wa umeme mwezi...
Tumeuza visiwa, tukauza gesi, tukauza madini na sasa bandari; je, hii Katiba mpya inakuja kusimamia nini au kutusimamia tusipingane na wanunuzi?
Tunaposema Katiba mpya huku tukiwa tunaingia...
Kuna tabia ya vijana bila hata kupewa chochote huibuka na kusifia viongozi hata ambavyo hastahili. Hii imekuwa kero kwa baadhi ya viongozi ambao hawana hulka ya kutaka sifa wamekuwa wakijitenga...
Watanganyika tumedhulumiwa ardhi yetu, tumedhulumiwa maji yetu ya maziwani na ya baharini, ndugu zetu tulio waamini sana, tukawakaribisha chumbani leo wamempa Mwarabu kwa vipande vichache tu vya...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema anesema ukimsikiliza kwa makini Sana mzee Kinana utagundua Ujumbe wake haukuwalenga Wananchi na kwamba kimsingi Hakubaliani na Mkataba wa...
MAELFU ya wananchi mkoani Kagera, wamejitokeza kwenye Uwanja wa Kaitaba, mkoani Kagera na kushiriki hafla ya kumuombea dua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Dua...
Kuna mtu kanifata inbox akilalama Mimi nimepewa hela kukataa DP world.
Sijapewa chochote na mtu yoyote. Mimi ni mmoja ya watu ambao ulikuwepo wakati AirTanzania inasambaratika Kuna muda kwenda...
MBUNGE wa Tarime Vijijini Mwita Waitara, amesema wamejipanga vizuri kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hadi sasa kwa majimbo yote mkoani Mara wamefikia asilimia 98.
Amesema uchaguzi...
MACHI 14, 2017, ilikuwa Jumanne. Uvamizi kama Navy Seal ya Marekani kwenye kasri tengwa, Abbottabad, Pakistan. Sinema ya kumuua Osama bin Laden.
Ilikuwa mchana, saa 7. “Watu wote mliopo ndani...
Haihitaji kubishana kwa chochote, suala la Bandari limefifisha kabisa nyota ya kisiasa ya Rais Samia, kwa hali ilivyo sasa Rais Samia akisema akagombee hata udiwani katika kata yoyote ile...
Kama utaratibu ndio huu wa Mtu anajiamkia alfajiri na kuamua kutangaza kupanda kwa kodi ya majengo bila kushirikisha wadau basi ni hatari.
Je, sababu za msingi za kupandisha hiyo kodi ni nini...
Nilipata Nafasi Ya Kuhudhulia Katika Kongamano la Nishati safi ya kupikia yaani Clean Cooking Conference. Lililoandaliwa na Wizara Ya Nishati Chini ya Mh Waziri January Makamba ili kujadili...
Watanganyika hatuna chaguo tena maumivu yetu yataishia moyoni tu hatutakuwa na cha kubadilisha. Hatuna Nyerere wala hatuna Magufuli tena, tujiandae kwa maumivu ya miaka mingi dhidi ya utawala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.