Hivi CCM wanatuonaje watanzania?

Hivi CCM wanatuonaje watanzania?

Wanazunguka asaiv Kwa sababu nia njema ya serikali ya Samia inapotoshwa na wapinga maendeleo wa chadema!
 
Najiuliza hii mikutano kwanini hawakufanya kabla ya kusaini mkataba? Wananchi tukaelezwa wanayoyasema sasa hivi.Yani wanatuona wa Tanganyika hatuna akili kabisa
Wanatuona kama vikorosi ila safari hii tutaoneshana makali
 
Sisi wa mitandaoni hawana muda na sisi wanajua tunajua na hatudanganyiki

Shida yao ni hawa bibi na mama zetu wa vijijini huko hawa ndio lengo lao ili waendelee kuwadanganya

Maana bibi zetu wataposikia kauli za nchi yetu imeuzwa na CCM ikakaa kimya watashituka na CCM haitaki hili kundi lishituke kwa sababu ndio mtaji wao miaka yote hii
 
IMG_20230730_215459.jpg
 
Najiuliza hii mikutano kwanini hawakufanya kabla ya kusaini mkataba? Wananchi tukaelezwa wanayoyasema sasa hivi.Yani wanatuona wa Tanganyika hatuna akili kabisa
Sema, CCM inakuonaje wewe mwana ufipa na genge lenuu
 
Wanatetea uuzwaji bandari kwa hoja nyepesi ili kumchafua Samia apigwe chini kugombea 2025
 
Najiuliza hii mikutano kwanini hawakufanya kabla ya kusaini mkataba wananchi tukaelezwa wanayoyasema sasa hivi?

Yaani wanatuona wa Tanganyika hatuna akili kabisa.
Nakweli hana akili
 
Wanatuona kama vikorosi ila safari hii tutaoneshana makali
Makali gani wewe hata mtwala wakati wa kuchimba gesi ilikuwa hivio tena Makonde wa mtwala walikuwa wakali kama nyuki walikuwa tayali kufana na baadhi yao walikufa nabaadhi kuwachwa bila miguu lakini gesi ilichimbwa,wewe uko tayari kufa kwa ajili ya bandari?kama uko tayali maandamano yanakuja kaambele tukuone
 
Unabisha na mimi au ,pumbavu
 
Back
Top Bottom