Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Katiba ya Zanzibar imeukana Muungano lakini wadanganyika tunaendelea kujidanganya tupo kwenye Muungano wakati hatuko huko.
Katiba ya Zanzibara imetamka wao ni nchi sasa kama wao ni nchi ina maana hatuna Muungano bali tumo kwenye serikali ya shirikisho la nchi mbili.
Muungano maana yake nchi zilimezwa na muungano wakati ndivyo katiba ya JMT inavyoongea lakini kiutelekelezaji Zanzibar hawautaki Muungano ila tu unapowapa ulaji tu.
Sasa kwa vile, wao hawatutaki ni vyema tukaona umuhimu wa kupiga kura ya maoni kama kwanza pande mbili za Muungano wanauhitaji na kama hatuuhitaji uvunjwe na kama sote tunauhitaji basi tukubaliane liwe shirikisho la nchi mbili badala ya kujiita Muungano wakati haupo.
Wazanzibara wako kwenye Muungano kuula tu kwa hiyo siyo wazalendo na ndiyo maana wanatuuza kama njugu.