Ukiulizwa kama muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulikuwa kubadili jina la Tanganyika kuwa Tanzania utakataa?

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
May 28, 2023
930
1,299
1. Kama NCHI ya ZANZIBAR ipo NCHI ya TANGANYIKA ipo wapi?

2. NYERERE alichanganya UDONGO wa NCHI ya TANGANYIKA na NCHI ya ZANZIBAR kwa maana ya kuwa hizo NCHI zimeungana na kuwa NCHI ya TANZANIA je NCHI ya TANZANIA ipo ktk UDONGO wa NCHI gani kati ya hizo mbili?

3. Mtu akisema MUUNGANO ulikuwa ni kubadilisha jina la TANGANYIKA na kuwa TANZANIA Je atakuwa KAKOSEA kwa sababu ZANZIBAR ipo VILE VILE ila TANGANYIKA ndio HAIPO

21ac0b657ea603b67fede1785617e0d5.jpg
 
View attachment 2698232
Muungano ulikuwa kwa ajili ya kuoanua mipaka ya Zanzibar na kuibana ya Tanganyika.
 
Back
Top Bottom