"Kama hizo hela ziliingilia mdomoni basi zitatokea mahali popote palipo wazi!!!" Magufuli.
Waliojigeuza marketing officers wa kampuni la DP world na madalali wote waliokula hizo hela za kuhongwa...
Baada ya TEC kuukataa mkataba wa DPW hadharani bila kumumunya maneno, sasa tunasubiri tamko la BAKWATA nao tusikie watasema nini. Ni matumaini yangu kwamba BAKWATA watafuata nyanyo za TEC kwa...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amezindua ujenzi wa barabara ya Ndulilo mpaka Itete kwa Kiwango cha Lami inayounganisha Kata ya LUFINGO na KYIMO yenye umbali wa KM 11.38 kwa gharama ya...
Mwanachama wa Chadema, Bananga arudi CCM
Alikuwa Diwani wa Kata ya Sombetini Katika Jiji la Arusha kwa tiketi ya CHADEMA 2015 hadi 2020.
Aliyekuwa mwanachama wa Chadema, Ally Bananga leo...
MBUNGE wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai ambaye alikuwa anashikiliwa na Polisi mkoani Arusha ameachiwa kwa dhamana usiku wa leo Jumatano Agosti 23, 2023.
Akizungumza baada ya kuachiwa Ole...
Licha kudai kukaa kimya na kuendelea kukaa kimya kuhusu sakata la Bandari lakini bado akazungumza, hakukaa kimya kama alivyodai ina first statement.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema, "Hakuna mtu...
Rais Samia mimi kama raia mwema ninaekusapoti naomba uchukuwe hatua kali sana kwa Wafanyabiashara wa mafuta ambao wanatumia udhaifu wa vyombo vya usimamizi vya serikali kufanya ulanguzi wa...
Kama ulikuwa unadhani kuwa karibu na ziwa ndio kupata Maji basi umekosea, Uchunguzi wetu umebaini kwamba Maeneo mengi ya Kanda ya ziwa Victoria hayana maji safi wala salama.
Jambo hili la kutia...
Kule Mtwara kuna Msemo kwamba "UKIMUNG'UNYA NCHALE UKITEMA NCHALE"
Hii ndio hali ambayo unaweza kuieleza kwa sasa Nchini Tanzania , kwamba pamoja na yote uliyoyasikia ya Uhaini na Waraka wa TEC...
Nimeona Gwajima amekusanya vijana wa kumlinda na kushiriki naye kuzunguka jimbo la Kawe. Naamini hawa vijana wamepangisha nyumba, wanakula na pia wanayo matumizi mengine mengi.
Kwa mantiki hiyo...
Mosi, Waraka umesomwa Makanisani kwa Watanzania Wote wenye Mapenzi mema.
Pili, Waraka umetoa angalizo na ushauri kwa Viongozi wenye Mapenzi mema na nchi yetu.
Waraka haujazungumzia mambo ya...
Mkutano wa kilele wa BRICS umeingia siku ya 3 huko Johanesburg, Afrika Kusini. Nchi wanachama zinapania kuimarisha ushawishi kuukabili muundo wa uchumi wa dunia unaoongozwa na nchi za Magharibi...
Aisee, mimi sitaki kuwa mtetezi wa Wamasai ila hawa jamaa wanaonewa kwa asilimia 100.
Kenya Hifadhi ya Amboseli wamepeaa count ya Kajiado waisimamie kuanzia sasa na huo Ruto anadai ni Ushauri wa...
Mkoa wa Manyara uliundwa mwaka 2002 baada ya kuugawa uliokuwa mkoa wa Arusha. Bahati mbaya Baada ya Magufuli kupata urais wa Tanzania alitangaza wazi kuwa mikoa ya Kaskazini itabidi isubiri...
Wakuu,
Huko Ngorongoro yanasemwasemwa mengi huko X na bahati mbaya vyombo vya habari havitoi taarifa za kinachoendelea. Mbunge wa huko inasemekana amekamatwa mpaka sasa haijulikani alipo na...
Vitu vingine viko wazi wazi kabisa kwamba haiwezekani kutenganisha Dini na Siasa
Na wala haina sababu ya kuendelea kudanganyana
Mungu Ibariki Tanzania!
Wakuu upi msimamo wa hili gwiji la siasa za maridhiano nchini?
Huyu ni moja ya magwiji ambao akiongea neno moja tu upepo unaweza badilika.
Mzee Mwinyi kwa sababu ya umri yeye tumuacje kidogo.
KWA NINI KUUPINGA MKATABA WA BANDARI INAITWA "UDINI" LAKINI KUUNGA MKONO SIO UDINI? MSIWE WAPUMBAVU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Wanasiasa moja ya mambo yanayowashushia heshima ni...
Habari kutoka Ngorongoro ni kwamba Mbunge wa Jimbo hilo, Emanuel Ole Shangai amechukuliwa na wasiojulikana.
Habari ni kwamba amepakiwa kwenye gari jeusi na kutokomea naye kusiko julikana. Vyanzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.