Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ni msafi kisiasa; Hana kashfa ya rushwa; anaaminika zaidi na wananchi/dola. Je, tupo tayari kuona mafisadi wanamstafisha?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
1. Mzee Kassim Majaliwa ni kiongozi ambaye hana tuhuma za rushwa ndani ya chama cha mapinduzi.

2. Ni kiongozi anayetambua Tanzania ina wimbi la ufukara jambo linalopelekea yeye kuogopa kujilimbikizia mali.

3. Hana makundi ya kisiasa ndani na nje ya chama. Hakuna mtandao, chawa wala kunguni wa majaliwa

4. Amesimama na wote wanaodai haki na maslahi mazuri kwa umma

5. Ana kiu yakuwaadhibu wabadhirifu ila mabosi wake wanamfunga speed gavana.

6. Ana nafsi ya kumcha Mungu

7. Anatamani sana kuwaletea watanzania katiba mpya kabla ya kustaafu siasa ila wanaomzunguka kwa kuwa haki kwao ni kikwazo anakwama kwenda mbele

8. Anajipa muda wa kusikiliza na anapotoa maamuzi uzingatia sheria, kanuni na taratibu kukwepa kuwaumiza wasio na hatia

9. Intelijensia yake inamsaidia sana kuwa na taarifa sahihi wakati sahihi. Ametengeneza mashushushu wanamjaza ukweli siyo kumdanganya. Anaaminika sana na kuheshimika na mifumo ya dola.

10. Kwake madaraka ya Waziri Mkuu si kitu kikubwa; yupo tayari kustaafu siasa kuliko kugombania madaraka kwa rushwa, ushirikina au namna nyingine ya dhuluma.

Je, unamshauri akuze ndoto yake ya kuwa Rais wa Yanzania au awaachie wenye mitandao ya royal families watutawale kwa dhuluma?

Unaamini atavuka vita ya watesi wake kisiasa? Kumbuka awali walipotaka atumbuliwe walisambaza habari kwamba alitaka mama asiwe Rais.......leo wamemtengenezea msaidizi.....kesho watamshinikiza afuate nyayo za Ndugai kummaliza kisiasa.

Zungumza na waziri Mkuu kwa kumshauri uwezavyo kuhusu kesho yake kisiasa
 
Ni muongo wa kuzaliwa, congenital liar. Alisema Rais yuko busy anapiga kazi, mnataka mumuone wapi, Magomeni Mwembechai sokoni?

Wakati Rais kashanyooka. Tena kaongopea msikitini, Astakafullulillah ladhim!
Aliyeongopa siyo KASSIM Majaliwa, aliyeongopa alikuwa Waziri Mkuu katika kutekeleza majukumu yake ya kazi.

Hapa tunamjadili Mwalimu Kasim Majaliwa
 
1. Mzee Kassim Majaliwa ni kiongozi ambaye hana tuhuma za rushwa ndani ya chama cha mapinduzi.

2. Ni kiongozi anayetambua Tanzania ina wimbi la ufukara jambo linalopelekea yeye kuogopa kujilimbikizia mali.

3. Hana makundi ya kisiasa ndani na nje ya chama. Hakuna mtandao, chawa wala kunguni wa majaliwa

4.Amesimama na wote wanaodai haki na maslahi mazuri kwa umma

5. Ana kiu yakuwaadhibu wabadhirifu ila mabosi wake wanamfunga speed gavana.

6. Ana nafsi ya kumcha Mungu

7. Anatamani sana kuwaletea watanzania katiba mpya kabla ya kustaafu siasa ila wanaomzunguka kwa kuwa haki kwao ni kikwazo anakwama kwenda mbele

8. Anajipa muda wa kusikiliza na anapotoa maamuzi uzingatia sheria, kanuni na taratibu kukwepa kuwaumiza wasio na hatia

9. Intelijensia yake inamsaidia sana kuwa na taarifa sahihi wakati sahihi. Ametengeneza mashushushu wanamjaza ukweli siyo kumdanganya. Anaaminika sana na kuheshimika na mifumo ya dola.

10. Kwake madaraka ya Waziri Mkuu si kitu kikubwa; yupo tayari kustaafu siasa kuliko kugombania madaraka kwa rushwa, ushirikina au namna nyingine ya dhuluma.

Je, unamshauri akuze ndoto yake ya kuwa Rais wa Yanzania au awaachie wenye mitandao ya royal families watutawale kwa dhuluma?

Unaamini atavuka vita ya watesi wake kisiasa? Kumbuka awali walipotaka atumbuliwe walisambaza habari kwamba alitaka mama asiwe Rais.......leo wamemtengenezea msaidizi.....kesho watamshinikiza afuate nyayo za Ndugai kummaliza kisiasa.

Zungumza na waziri Mkuu kwa kumshauri uwezavyo kuhusu kesho yake kisiasa
We humjui tu uliza wakueleze jinsi alivyopita bila kupingwa kule Ruangwa
 
Mwenye hati chafu ya majaliwa kabla na baada ya uwaziri mkuu aweke hapa.

Mwenye CV ya wizi wa mali za umma za majaliwa aweke hapa

Mwenye ushahidi wa majaliwa kutumia madaraka vibaya kunyanyasa watumishi wa umma au mtu yeyote aweke hapa.

Tathimini yangu inaonyesha huyu kijana amejitunza bila kukubali kuathiriwa au kulewa madaraka.

Tusikubali kupoteza tunu kazi hizi; huyu ni type ya akina Sokoine tumlinde
 
hivi ndo yeye alietandikaga walimu mboko au nimemfananisha..
 
Mwenye hati chafu ya majaliwa kabla na baada ya uwaziri mkuu aweke hapa.

Mwenye CV ya wizi wa mali za umma za majaliwa aweke hapa

Mwenye ushahidi wa majaliwa kutumia madaraka vibaya kunyanyasa watumishi wa umma au mtu yeyote aweke hapa.

Tathimini yangu inaonyesha huyu kijana amejitunza bila kukubali kuathiriwa au kulewa madaraka.

Tusikubali kupoteza tunu kazi hizi; huyu ni type ya akina Sokoine tumlinde
We nawe usituchoshe hapa! Umeshaambiwa habari zaķe za uchafuzi wa 2020 na aliyowatendea wagombea wengine.
Ni mchafu tuu kama wengine
 
1. Mzee Kassim Majaliwa ni kiongozi ambaye hana tuhuma za rushwa ndani ya chama cha mapinduzi.

2. Ni kiongozi anayetambua Tanzania ina wimbi la ufukara jambo linalopelekea yeye kuogopa kujilimbikizia mali.

3. Hana makundi ya kisiasa ndani na nje ya chama. Hakuna mtandao, chawa wala kunguni wa majaliwa

4.Amesimama na wote wanaodai haki na maslahi mazuri kwa umma

5. Ana kiu yakuwaadhibu wabadhirifu ila mabosi wake wanamfunga speed gavana.

6. Ana nafsi ya kumcha Mungu

7. Anatamani sana kuwaletea watanzania katiba mpya kabla ya kustaafu siasa ila wanaomzunguka kwa kuwa haki kwao ni kikwazo anakwama kwenda mbele

8. Anajipa muda wa kusikiliza na anapotoa maamuzi uzingatia sheria, kanuni na taratibu kukwepa kuwaumiza wasio na hatia

9. Intelijensia yake inamsaidia sana kuwa na taarifa sahihi wakati sahihi. Ametengeneza mashushushu wanamjaza ukweli siyo kumdanganya. Anaaminika sana na kuheshimika na mifumo ya dola.

10. Kwake madaraka ya Waziri Mkuu si kitu kikubwa; yupo tayari kustaafu siasa kuliko kugombania madaraka kwa rushwa, ushirikina au namna nyingine ya dhuluma.

Je, unamshauri akuze ndoto yake ya kuwa Rais wa Yanzania au awaachie wenye mitandao ya royal families watutawale kwa dhuluma?

Unaamini atavuka vita ya watesi wake kisiasa? Kumbuka awali walipotaka atumbuliwe walisambaza habari kwamba alitaka mama asiwe Rais.......leo wamemtengenezea msaidizi.....kesho watamshinikiza afuate nyayo za Ndugai kummaliza kisiasa.

Zungumza na waziri Mkuu kwa kumshauri uwezavyo kuhusu kesho yake kisiasa
Amekutuma?
Mwambie No.
 
Screenshot_2023-10-04-05-01-05-46_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
 
Waulize watu wa Njombe wanamwelewa kwa undani sana aliwapelekea salaam kutoka kwa mtu aliye mahututi
 
Licha ya uongo alio nao. Ni chawa pia anayo ile hali ya kucheza muziki kulingana na bits, ameshiriki kuuza bandari yetu, ameshiriki kuzima umeme wetu, ameshiriki kuwaondoa wamaasai ngorongoro, amewakamata kina Mwabukusi bila sababu
KMK nakufahamu kama muhuni muhuni tuu ila watanzania wanamahaba na ww sio siri. Wanadhani unaroho ya mwendazake yule. Ningekuwa mimi ni wewe kulingana na uchafu huu unaoendelea ningesababisha taharuki ambayo ingenigharimu kwa muda ila najua 2025 kiti changu. Anang'ang'ania kiti pamoja na wahuni sio mtu mzuri
 
1. Mzee Kassim Majaliwa ni kiongozi ambaye hana tuhuma za rushwa ndani ya chama cha mapinduzi.

2. Ni kiongozi anayetambua Tanzania ina wimbi la ufukara jambo linalopelekea yeye kuogopa kujilimbikizia mali.

3. Hana makundi ya kisiasa ndani na nje ya chama. Hakuna mtandao, chawa wala kunguni wa majaliwa

4.Amesimama na wote wanaodai haki na maslahi mazuri kwa umma

5. Ana kiu yakuwaadhibu wabadhirifu ila mabosi wake wanamfunga speed gavana.

6. Ana nafsi ya kumcha Mungu

7. Anatamani sana kuwaletea watanzania katiba mpya kabla ya kustaafu siasa ila wanaomzunguka kwa kuwa haki kwao ni kikwazo anakwama kwenda mbele

8. Anajipa muda wa kusikiliza na anapotoa maamuzi uzingatia sheria, kanuni na taratibu kukwepa kuwaumiza wasio na hatia

9. Intelijensia yake inamsaidia sana kuwa na taarifa sahihi wakati sahihi. Ametengeneza mashushushu wanamjaza ukweli siyo kumdanganya. Anaaminika sana na kuheshimika na mifumo ya dola.

10. Kwake madaraka ya Waziri Mkuu si kitu kikubwa; yupo tayari kustaafu siasa kuliko kugombania madaraka kwa rushwa, ushirikina au namna nyingine ya dhuluma.

Je, unamshauri akuze ndoto yake ya kuwa Rais wa Yanzania au awaachie wenye mitandao ya royal families watutawale kwa dhuluma?

Unaamini atavuka vita ya watesi wake kisiasa? Kumbuka awali walipotaka atumbuliwe walisambaza habari kwamba alitaka mama asiwe Rais.......leo wamemtengenezea msaidizi.....kesho watamshinikiza afuate nyayo za Ndugai kummaliza kisiasa.

Zungumza na waziri Mkuu kwa kumshauri uwezavyo kuhusu kesho yake kisiasa

Hakuna mtu msafi anayeingia madarakani kwa kunajisi uchaguzi.
 
Hayupo wa kumtoa hapo,

Afanye KAZI yake. Akimaliza astaafu Kwa Heshima.
 
Back
Top Bottom