Kuna aina tatu za watu (Idiot, tribalistic and citizens). Je, Tanzania kundi gani ni kubwa?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
893
4,140
Idiot - asiyependa kufikiri, mbinafsi na asiyetamani wengine wafanikiwe bali kila kitu anatamani ajilimbikizie yeye tu.

Tribalistic- asiyefikiri nje ya box, anayeamini kwenye kundi dogo mawazo finyu. Mkatili kwa wanaompinga. Asiyefikiri kuacha alama chanya hapa Duniani. Anayeweza yeye na jamii yake ndio binadamu sahihi na wengine wote si kitu kwa jamii au chama chake au taasisi yake. Mbinafsi

3. Citizen- watu wanaofikiri zaidi kuhusu wengine, wasiopenda dhuluma, wanaoamini kwenye haki, wasiopenda maisha yale yale bali utamani kupiga hatua ya maendeleo wao na jamii kubwa. Ni watu wanaowaza na kutafuta suluhu ya changamoto za Dunia siyo jamii yao pekee.

Je, Tanzania viongozi wetu wengi wapo kundi gani? Je, tuendelee kuomba na kupigania kuongeza kwa watu wengi katika kundi tulilopo?

Nb; Kwa uelewa zaidi Tembelea tweeter akaunti ya Nabii Lema ukutani na maneno ya baraka kwa Naga society.

Mbarikiwe na tafakuri hii itusaidie sana kujikwamua kutoka Idiot na tribalistic twende sasa tukawe citizens.
 
Walioipanga Yanga kwenye lile kundi gumu kama jiwe kule CAF wapo kundi gani hapo
 
Sio tu viongozi bali pia waTanzania wengi ni Idiotrabalisticitezens.

yaani idiots, tribalistics na citizens.
 
Kwa Tanzania yetu, kikubwa uzima!
Maana unayemdhania ndiye, kumbe siye!
 
Viongozi wengi, siyo wote ni tribalistic na wananchi kwa asilimia kubwa ni idiots.
Kutoa elimu kwa wananchi, kuchanganya jamii zenye mwamko wa fikra na zile zilizolala, ikiwa ni pamoja na genetically upgrading (wale wenya akili duni kuzaliana na wenye akili bora), vyaweza kusaidia kuendeleza taifa kwa faida ya vizazi vijavyo.
 
Walioipanga Yanga kwenye lile kundi gumu kama jiwe kule CAF wapo kundi gani hapo
Watakuwa Citizens hao. Watapangaje timu inayofungwa na Ihefu kwenye kundi moja na Al ahly, bezouildada na medeamama?
 
Idiot - asiyependa kufikiri, mbinafsi na asiyetamani wengine wafanikiwe bali kila kitu anatamani ajilimbikizie yeye tu.

Tribalistic- asiyefikiri nje ya box, anayeamini kwenye kundi dogo mawazo finyu. Mkatili kwa wanaompinga. Asiyefikiri kuacha alama chanya hapa Duniani. Anayeweza yeye na jamii yake ndio binadamu sahihi na wengine wote si kitu kwa jamii au chama chake au taasisi yake. Mbinafsi

3. Citizen- watu wanaofikiri zaidi kuhusu wengine, wasiopenda dhuluma, wanaoamini kwenye haki, wasiopenda maisha yale yale bali utamani kupiga hatua ya maendeleo wao na jamii kubwa. Ni watu wanaowaza na kutafuta suluhu ya changamoto za Dunia siyo jamii yao pekee.

Je, Tanzania viongozi wetu wengi wapo kundi gani? Je, tuendelee kuomba na kupigania kuongeza kwa watu wengi katika kundi tulilopo?

Nb; Kwa uelewa zaidi Tembelea tweeter akaunti ya Nabii Lema ukutani na maneno ya baraka kwa Naga society.

Mbarikiwe na tafakuri hii itusaidie sana kujikwamua kutoka Idiot na tribalistic twende sasa tukawe citizens.
Acha uongo, hizo aina tatu umezitoa wapi? Andiko lipi? Tafti ipi ilifanyika na kuja na hitimisho la juu ya uwepo wa aina tatu za watu? Au hizo aina tatu utwbia ni katika nini?

Huwezi kukurupuka tu from nowhere kuwa Kuna aina tatu za watu!

Nimepinga justification of error katika MAELEZO ya mwanzo maana moja kwa moja inapotosha na mwisho itaharibu content intended!
 
Back
Top Bottom