Kongamano la Vyombo Vya Utangazaji Africa linafanyika Zanzibar

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,321
24,228
Dk Rioba ataja fursa kongamano la mashirika ya utangazaji ya umma

Dhima la kongamano ni vyombo vya utangazaji vya umma kwenda na mabadiliko ya kidijitali na TEHAMA ili viende na wakati au la vitaishia makumbusho kuwa vilikuwepo. Huku vyombo vinavyokumbatia mabadiliko ya teknolojia vikizidi kuchanja mbuga na kustawi kufikia umma mkubwa.

Kongamano la Vyombo vya utangazaji Africa linalo ratibiwa na Broadcast Media Africa (BMA) na Southern Africa Broadcasting Association (SABA) unafanyika Zanzibar kuanzia tarehe
10 October – 12 October 2023


View: https://m.youtube.com/watch?v=b7nyJPkZ75U

Tanzania imepata heshima ya kuwa mwenyeji wa kongamano la wa Umoja wa Mashirika ya Utangazaji ya Umma Kusini mwa Afrika (Saba), utakaoangazia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika kukuza uchumi wa kidigitali barani Afrika.

Kongamano hilo ni la 30, hufanyika kila mwaka katika moja ya nchi wanachama, na kwa mwaka huu utafanyika Mjini Unguja Zanzibar kuanzia Oktoba 10 hadi 12, ambapo Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi atakuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wake, ukihusisha wadau wa habari zaidi ya 200 kutoka nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc).

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dk Ayoub Rioba ameeleza hayo leo Ijumaa Oktoba 6, 2023

Dk Rioba amesema pamoja na mambo mengine mkutano huo utajadili kwa kina nafasi ya TEHAMA na mchango wake katika ukuaji wa uchumi wa kidijitali Afrika ili kuleta maendeleo endelevu kwa kuonyesha maboresho makubwa yaliyofanyika hivi karibuni katika teknolojia ya habari.

Africa’s Broadcasters Convention To Take Place In Zanzibar – Tanzania On 10th – 12th October 2023​


Broadcasting-500x500-1.jpg

With the theme: “Traditional Media Sustainability Amid New Digital Technologies”, Broadcast Media Africa (BMA) and the Southern Africa Broadcasting Association (SABA) are pleased to announce that the 7th Broadcasting and Digital Media Convention-Africa 2023, will take place in Zanzibar, Tanzania.

Hosted by Tanzania Broadcasting Corporation (TBC), the 3-day industry convention will take place on 10th – 12th October 2023, co-locating with the 30th Annual General Meeting (AGM) of the Southern Africa Broadcasting Association.

This industry summit will provide insights and a practical understanding of critical issues and strategies that it will take to modernise the industry systems and operations in a sustainable and commercially viable manner.

As in previous editions, the Broadcasters and Digital Media Convention – Africa will showcase global best industry practices, detailing working strategies and plans for stakeholders and professionals from TV, radio, film, music, telecoms, advertising and new media platforms from within the region to connect, learn and do business.


Mr Cecil Nguvauva
Secretary-General
Southern African Broadcasting Association – SABA
 
The Rise and Fall of SABC - Part 1

It is said that radio was killed by TV and TV killed by the Internet. So how the SABC was found itself in this mess. History of when South African Broadcasting Corporation started ... and its situation today facing fierce competition...


View: https://m.youtube.com/watch?v=1qdCy8SDwLo
This episode explores the History of Radio and Television in South Africa and the Corporation that was responsible for the rise of such technology in the Southern African region. Part 2 will focus on the fall of traditional broadcasting in South Africa ..
Source : Sebolelo Khanyela
 
Tumetoka Chato sasa ni Zanzibar.... naona Her Majesty.... Highness.... Eminence Prof...Dr...mtukufu Samia Suluhu Hassan ameenea kisawa sawa kwenye kiti chake cha enzi.....

Nasikia viwanja huko Kizimkazi vinagombaniwa kama mpira wa kona!
 
Back
Top Bottom