Jambo lolote la Upinzani bila kuihusisha Chadema ni Kazi bure Ndio sababu Chadema wanajiona miungu Watu kwa sababu Wana Hiyo advantage!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,023
142,073
Huu Ndio Ukweli' kwamba Chadema ni Chama Cha Vijana ambayo Ndio Wengi kwenye population ya Tanzania

Hata CCM wanafeli sana kwenye mambo ya Vijana kwa sababu huwa hawaishirikishi Chadema Ndio unaona inaamua kuwachukua akina Lulandala na Katambi

Wananchi Wana Imani sana na Dr Slaa na Mwabukusi Lakini Peke yao bila Chadema hawatafanya chochote

Mwalimu Nyerere alifanya Uwekezaji mkubwa sana wa malezi ya Vijana wa Kizazi Kipya kwenye ubongo wa Freeman Mbowe Lakini yule Shujaa Magufuli akaivunja Club Billicanas bila kujua ilikuwa pale kwa manufaa ya taifa

Najua akina Dr Slaa, Mdude, Mbatia, Askofu Mwamakula, Dr BAK na wengine Wengi mnapita humu huu ni Ujumbe wa Kuwatakia Sabato Njema

Mungu akamwambia Mussa akasema " Mimi ndimi Bwana Mungu Wako Usiwe na miungu mingine ila mimi"

Nawatakia Sabato Njema 😀
 
kwa waathirika na walio nje ya hicho chama,
ukitaja tu CHADEMA wanahisi harufu kali, mbaya na kichefuchefu,
na kwa hivyo wanarudi nyuma hatua elfu2,
kuepuka kuambukizwa harufu kali chuki, ubinafsi, ujuaji mwingi mbele kiza, upendeleo wa kikanda, ukabila na udini, ubinafsi, ufinywaji wa demokrasia, usaliti, dharau kwa wengine nakadhalika nakadhalika nakadhalika,

hakuna mahali wanaenda, watadhibitiwa right left and center vizuri sana. Haiwezekani kuruhusu unafiki uenee na kuunda taifa la wanafiki na vibaraka.
 
Supply driven versus demand driven concepts.

CDM inawakilisha matakwa ya utashi wa watu waliokuwa wengi, wakati Sauti ya Wananchi imekuja na nguvu mpya ya ugavi wa watu wachache. Maudhui na muktadha kwa pande zote mbili zinarandana, lakini tofauti ni "approaches & modus operandi"
 
Huu Ndio Ukweli' kwamba Chadema ni Chama Cha Vijana ambayo Ndio Wengi kwenye population ya Tanzania

Hata CCM wanafeli sana kwenye mambo ya Vijana kwa sababu huwa hawaishirikishi Chadema Ndio unaona inaamua kuwachukua akina Lulandala na Katambi

Wananchi Wana Imani sana na Dr Slaa na Mwabukusi Lakini Peke yao bila Chadema hawatafanya chochote

Mwalimu Nyerere alifanya Uwekezaji mkubwa sana wa malezi ya Vijana wa Kizazi Kipya kwenye ubongo wa Freeman Mbowe Lakini yule Shujaa Magufuli akaivunja Club Billicanas bila kujua ilikuwa pale kwa manufaa ya taifa

Najua akina Dr Slaa, Mdude, Mbatia, Askofu Mwamakula, Dr BAK na wengine Wengi mnapita humu huu ni Ujumbe wa Kuwatakia Sabato Njema

Mungu akamwambia Mussa akasema " Mimi ndimi Bwana Mungu Wako Usiwe na miungu mingine ila mimi"

Nawatakia Sabato Njema
Sidhani kama CHADEMA wanajiona miungu watu. Ni CHADEMA hawa hawa waliowaandalia Mwabukusi na Slaa platform pale Temeke Kila Mtanzania akawasikia. Lakini baada ya hapo Wakajiona wanaweza kupanga mpanga mipango ya CHADEMA wakiwa nje ya CHADEMA. Unawezaje kupanga ushiriki wa Chama kwenye maandamano bila kushirikisha Chama? Umeingiza ratiba yako wakati tayari CHADEMA Wana OP +255 na Mwanza walishapita wanajiandaa na kanda ya Nyasa, Selous na Mashariki. Hivi Jo CHADEMA wangekuwa Chama makini Kwa ratiba yao kupangwa na watu wa nje ya Kamati Kuu?
 
Dr slaa ana mtaji mkubwa wa watu hata pale kwake mbweni ni mtu wa kutegemewa Sana. ni adhina kwa Taifa.

Mwambukisi ni mwanaharakati aliye tayari kuona rasilimali za nchi zinabaki salama huyu naye hawezi kufa masikini ana mtaji mkubwa watu.

Chadema na Mbowe hiki ni chama kilichopata bahati ya kukubalika na kundi kubwa la wasomi ..

Ccm hiki ni chama kinachopendwa zaidi na watu wa vijijini na vijana wanaojiita chawa au wapambe .na watu wasio na Elimu ya uraia na Mtazamo chanya kuhusu maendeleo.
 
...wanahisi harufu kali, mbaya na kichefuchefu,
na kwa hivyo wanarudi nyuma hatua elfu2,
kuepuka kuambukizwa harufu kali chuki, ubinafsi, ujuaji mwingi mbele kiza, upendeleo wa kikanda, ukabila na udini, ubinafsi, ufinywaji wa demokrasia, usaliti, dharau kwa wengine nakadhalika nakadhalika nakadhalika,
Wewe chawa,
Mbona hizi ndo sifa za ccm?!
 
Sidhani kama CHADEMA wanajiona miungu watu. Ni CHADEMA hawa hawa waliowaandalia Mwabukusi na Slaa platform pale Temeke Kila Mtanzania akawasikia. Lakini baada ya hapo Wakajiona wanaweza kupanga mpanga mipango ya CHADEMA wakiwa nje ya CHADEMA. Unawezaje kupanga ushiriki wa Chama kwenye maandamano bila kushirikisha Chama? Umeingiza ratiba yako wakati tayari CHADEMA Wana OP +255 na Mwanza walishapita wanajiandaa na kanda ya Nyasa, Selous na Mashariki. Hivi Jo CHADEMA wangekuwa Chama makini Kwa ratiba yao kupangwa na watu wa nje ya Kamati Kuu?
Mwabukusi na Mdude wanacheza ngoma ya Slaa bila kujua Slaa ana lengo gani
 
Taratibu naanza kuona hilo.
Slaa hawezi kuwa na lengo jema na Chadema na probably anataka kujisafisha tu kupitia CHADEMA au anataka kukivuruga zaidi CHADEMA.

Mtu ambaye bado anamuamini Slaa kwa lolote anatakiwa kujitafakari sana matumizi yake ya ubongo.
 
correcting-date-in-caption-this-photo-made-on-january-5-2011-shows-a-man-bleeding-from-the.jpg

NO HATE NO FEAR.
 
CDM ni chama kikubwa cha upinzani mfu, kisicho na madhara, ni kama ukiweka watoto waliofeli mmoja akitunisha misuli kuwa amepata div IV dhidi ya wenzie walio na zero. CDM kwa sasa ni kama fişi tu wanasubiria kuachiwa mizoga na CCM, hawana hali wala utashi wowote wa kuipigania Tz bora.

Kwao CDM tatizo kuu Tz ni tume huru ya uchaguzi tu, mengine kwao ni sawa, wao wanachohitaji ni kupewa pia vinyama vya keki ya Taifa ili wafunge midomo, hawa ni mafisi tu. Na udhaifu wote wa Samia, ila atashinda kwa kishindo sababu CDM ni a walking dead party, kilichojaa ubinafsi, chuki na ulaghai dhidi ya mabadiliko ya kweli Tz.
 
kwa waathirika na walio nje ya hicho chama,
ukitaja tu CHADEMA wanahisi harufu kali, mbaya na kichefuchefu,
na kwa hivyo wanarudi nyuma hatua elfu2,
kuepuka kuambukizwa harufu kali chuki, ubinafsi, ujuaji mwingi mbele kiza, upendeleo wa kikanda, ukabila na udini, ubinafsi, ufinywaji wa demokrasia, usaliti, dharau kwa wengine nakadhalika nakadhalika nakadhalika,

hakuna mahali wanaenda, watadhibitiwa right left and center vizuri sana. Haiwezekani kuruhusu unafiki uenee na kuunda taifa la wanafiki na vibaraka.
Hivyo vyote ulivyotaja vinazidi ccm?, CCM Kuna zaidi ya hayo, Kaa Kwa kutulia Kisha ichunguze ccm unaweza jinyonga Kwa uchafu iliyonayo.
 
Huu Ndio Ukweli' kwamba Chadema ni Chama Cha Vijana ambayo Ndio Wengi kwenye population ya Tanzania

Hata CCM wanafeli sana kwenye mambo ya Vijana kwa sababu huwa hawaishirikishi Chadema Ndio unaona inaamua kuwachukua akina Lulandala na Katambi

Wananchi Wana Imani sana na Dr Slaa na Mwabukusi Lakini Peke yao bila Chadema hawatafanya chochote

Mwalimu Nyerere alifanya Uwekezaji mkubwa sana wa malezi ya Vijana wa Kizazi Kipya kwenye ubongo wa Freeman Mbowe Lakini yule Shujaa Magufuli akaivunja Club Billicanas bila kujua ilikuwa pale kwa manufaa ya taifa

Najua akina Dr Slaa, Mdude, Mbatia, Askofu Mwamakula, Dr BAK na wengine Wengi mnapita humu huu ni Ujumbe wa Kuwatakia Sabato Njema

Mungu akamwambia Mussa akasema " Mimi ndimi Bwana Mungu Wako Usiwe na miungu mingine ila mimi"

Nawatakia Sabato Njema 😀
Wewe bila kujihusisha negatively na chadema huwezi ishi ndomana unajua majungu-mtu....
Usiwe kijana wa ho... bana ongelea Chama Cha Machawa (sisiemu) unayoipendaa
 
Magufuli alitumia Bilions na Dola na Mashushushu na Task force zake kuhakikisha anaiua CHADEMA kama sio Chama makini kwanini kisakwe kwa Udi na uvumba na Watawala THINK!
 
Back
Top Bottom