Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,242
- 113,623
Pengine labda ni ujinga wangu. Labda ni mimi tu ambaye sijui. Kama ni hivyo, basi natumaini mtakuwepo mnaojua na hamtosita kunijuza.
Hivi viongozi wa Tanzania wanaruhusiwa kukiuka sheria za barabarani?
Niko mjini naenda nyumbani. Nyuma kwa umbali wa mita kadhaa nasikia sauti ya king’ora na naona taa za kimulimuli zimewaka juu ya gari.
Barabara niliyopo ina median [sijui Kiswahili chake] katitaki.
Nageuka nyuma kuangalia hiyo sauti ya king’ora inatokea wapi, mara nauona msafara wa Jaji Mkuu ukielekea mwelekeo ninaoelekea mimi ila ukiwa upande mwingine wa barabara ambako magari yanayoenda mjini yanatakiwa kuwa.
Msafara wa Jaji Mkuu ulikuwa unaenda ‘the wrong way’.
Siku chache baadaye tena, nikakutana na msafara wa mkuu wa polisi nchini, IGP.
Msafara wa IGP nao ulikuwa unaenda ‘the wrong way’. Naye ana ving’ora na vimulimuli kwenye msafara wake.
Misafara ya viongozi wote hawa wawili, ilikuwa inavunja sheria za barabarani, kwa nijuavyo mimi.
Au hizi sheria huwa haziwahusu wao?
Manake kwa Jaji Mkuu na Inspekta Jenerali Mkuu wa polisi, ni kati ya viongozi wanaopaswa kuzisimamia na kuzitekeleza sheria za nchi. Wanapaswa kuwa mifano mizuri kwa sisi wengine.
Ila kwa nilichokiona, ni kinyume kabisa. Wao ndo walikuwa wanavunja sheria.
Sasa ndo nauliza; je, wao [viongozi] wana sheria zao peke yao ambazo zipo tofauti na sheria zinazotuhusu sisi wengine?