Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

RAIS SAMIA AWASILI INDIA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili jijini New Delhi, India leo tarehe 08 Oktoba, 2023 kwa ajili ya kuanza ziara ya kitaifa ya...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi ,(CCM), Daniel Chongolo, amebaini kusimama Kwa mradi wa skimu ya umwagiliziaji kutokana na uchakavu wa miundombinu uliokithiri, mradi huo upo katika Kata ya...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mh. Waziri hongera kwa kuteuliwa kuwa waziri wa wizara hii muhimu kwa Taifa hili. Pamoja na hongera nyingi ila ninaomba kukujulisha kuwa wizara yako imeshindwa kuisimamia Tume ya Madini nchini...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni kwamba jeshi la polisi mkoani mbeya linawashikilia aliyekuwa balozi wa tanzania nchini Sweeden Dr. slaa na mwenzake Buberwa kwa kosa la kufanya mikusanyiko isiyo halali. wengine ni Mwabuksi...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Katika anga ya kisiasa na kijamii, kulinganisha nchi na gari kunatoa mtazamo mzuri wa kuelewa uhusiano wa watu na utawala. Tufikirie Tanzania kama gari kubwa linaloelekea kwenye safari ya...
1 Reactions
0 Replies
467 Views
Nauliza, kati ya Mobhare Matinyi(Mwanafamilia Mwandamizi wa Kipanga House aliyewiva hata mara kadhaa jina lake kufikishwa mezani kwenye Mamlaka za Uteuzi ateuliwe kuwa DG wa Jumba lile). na Ndg...
4 Reactions
47 Replies
6K Views
Watanzania tumshukuru Mungu wa Mbinguni kwa kutupatia Viongozi Imara wa Chama, Serikali na Vyombo vya Dola Ukraine na Palestine Wananchi wao walifanya makosa kwenye Uchaguzi na sasa wanakula...
-1 Reactions
5 Replies
786 Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Morogoro NDG ROSSE RWAKATARE akikabidhi zawadi kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Morogoro Mjini NDG SALMU KIPIRA pamoja na kaimu katibu wa...
1 Reactions
0 Replies
485 Views
Viongozi wa CCM na serikali hakuna Sehemu wanaosikika wakipiga kelele kupata madhara ya kiuchumi kwa upungufu wa umeme nchini. Hakuna hata mmoja aliyesikika au simama kutoa mawazo mbadala juu ya...
1 Reactions
4 Replies
548 Views
Kumekucha Chalinze!! Ni Jumatano hii ya Oktoba 11, 2023 ambapo Jimbo la Chalinze chini ya Mbunge wake ambaye pia ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete litafanya Mkutano...
2 Reactions
2 Replies
661 Views
Kuna ujumbe unaosambazwa katika makundi ya WhatsApp na wanachama wa Chadema Jimbo la Namtumbo unaodai kuwa nabii THABO MASENYA wa nchini Afrika Kusini ametoa unabii wake unaodai kuwa Lissu...
9 Reactions
48 Replies
4K Views
Mahakama kuu ya Kenya angalau imeonesha uhuru wa kufanya maamuzi pasipo kuingiliwa na serikali katika kufanya maamuzi yake tofauti kabisa na hali iliopo kwa jirani yake Tanzania kwa kuzuia kwa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Tanzania na India zimechukua best option kwa kuamua kutengeneza soko la pamoja kati yao kukubaliana matumizi ya sarafu za ndani kutumika katika biashara baina ya nchi hizi mbili. Tanzania na...
1 Reactions
5 Replies
947 Views
Ni aibu kwa mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya na viongozi wote wa DSM kwa namna mabasi ya mwendo kasi yanavyofanya kazi. Mradi mkubwa kama huu hakuna kiongozi yeyote anayeuangalia wala kusimamia...
8 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimeona barua ya tarehe ya leo 9 /20/2023 liyoandikwa na Mdude Nyagali maarufu kama Mdude Chadema ya kuitisha Maandamano nchi nzima kuanzia 9 Novemba, 2023 kupinga Mkataba wa Bandari na kudai...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, Kaimu Mkuu wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Geneva, Balozi Hoyce Temu na Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa...
0 Reactions
0 Replies
564 Views
Ukombozi ni safari ndefu. Hatimaye uelekeo Tahrir unasomeka waziwazi. Kulikoni? 1. Katiba Mpya ni sasa! 2. Hakuna Katiba, Mpya hakuna uchaguzi. 3. Biashara ya bandari, haipo. "Wale watanzania...
16 Reactions
120 Replies
6K Views
Sasa ninaamini kwa nguvu zote kwamba kati ya mambo magumu kuyafanya ni kukubali mabadiliko.(change). Wakati mmoja nikiwa mahali, nilisikia kisa Cha watu ambao walimkataa kasisi wao mpya baada ya...
0 Reactions
0 Replies
421 Views
Ni wakati sasa wa nchi yetu kupelekea ndege haraka kuwaondoa Watanzania waliopo Israel Israel wamekumbwa na vita nzito na wapo chini ya mashambulizi mazito ya Hamas waisrael wenyewe wameanza...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom