Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nadhani kwa leo tuishi humu 👇🏽 WHY THE EPA IS NOT BENEFICIAL TO TANZANIA This article was published in The Daily News of Tanzania on 28 July 2016. In the article, the former Tanzanian...
1 Reactions
1 Replies
791 Views
Kama kuna kitu Waislamu tunapaswa kukifanya katika kuandika HISTORIA yetu na ikasomwa kila baada ya sala ni hii ya Ikulu ya Magogoni hapa Dar es salaam maana ni historia yetu na ni halali kwetu...
140 Reactions
215 Replies
16K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika...
15 Reactions
121 Replies
13K Views
Kwa mimi mtu niliyemwona anapiga chapuo ya uwekezaji wa bandari na hataki kabisa kusikia kwamba mkataba una shida ni mmoja tu. Naomba nimtaje then mtatusaidia kuwafahamu wengi kwa ajili ya...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Mgeni Rasmi katika siku ya pili ya Tamasha la Pili la Utamaduni Kitaifa, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo waendelea Balozi Dkt. Pindi Chana leo Agosti 26, 2023 alikagua mabanda ya maonesho ya...
1 Reactions
3 Replies
870 Views
Katika mwendelezo wa kupinga mawazo na mfumo wa utawala wa Mwl. Nyerere. Tundu Lissu amepasua jipu ambalo wengi huwa wanaogopa kulipasua pale aliposema kuwa Mwl. Nyerere alikuwa ni "msanii wa...
48 Reactions
1K Replies
218K Views
Mama awali nilimsikia kule mkoa wa arusha kwamba ameamua kukaa kimya na watu walimshangilia sasa sijui kukaa kimya ndiyo kutuaminisha kwamba ni mkomavu wa kisiasa! jambo lililopo mbele yake siyo...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Kama tutaitafuta jamii iliyoonewa/inayoonewa ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, (Zaidi Tanganyika) basi ni Waislamu. Waonevu ni Serikali ya CCM. Ajabu ccm wanapofanya madudu...
25 Reactions
56 Replies
4K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu ameingia kwenye Jimbo la Msalala , Mkoani Shinyanga , katika ile Oparesheni kabambe ya Chama Chake inayoitwa 255 Katiba. Mwendo wa sasa ni ule ule wa...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania katiba yetu imeweka ukomo wa muhula mmoja wa viongozi akiwamo rais na wabunge kuchaguliwa kila baada ya miaka mitano. Hii ni nzuri ila tatizo kubwa ni kwamba katiba imeweka...
7 Reactions
125 Replies
6K Views
Wafuatao ni baadhi ya wabunge ambao hawatarudi 2025 na waandae kabisa makorokoro yao kabisaaa. Hii ni kutokana na KUTOKUKUBALIKA NA WANANCHI WA JIMBO HUSIKA, KUTOKUPELEKA MAENDELEO MAJIMBONI...
13 Reactions
96 Replies
11K Views
Suala la mkataba wa bandari, wenye vifungu batili, ukitetewa na CCM na Serikali yake, kwamba TPA imeshindwa kuendesha bandari, hivyo apewe DP World yenye uwezo. Kimsingi Viongozi wa CCM, na...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Asalam, bado naendelea kujiuliza uliza, je tuna uhuru wa aina gani? je jirani yangu yuko huru? je Mzee Mwanakijiji yuko huru? Je FaizaFox Yuko huru? na Mzee Paschal Mayala yuko Huru? Vipi Mamdenyi...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Shirika hilo la Umeme limesema njia ya umeme itakayozimwa ni kutoka Kidatu kwenda Kihansi kwa siku mbili kuanzia Agosti 26 hadi 28 2023 Umeme utakuwa wa mgawo kwa Saa 12 kuanzia Saa 1 Jioni hadi...
11 Reactions
107 Replies
17K Views
Unauliza kwanini? Basi jibu ni hili,wengi waliokatwa 2020 kwenye kura za maoni wanarudi kwa kishindo sana na tayari wapo majimboni kujipanga wa kupitia uchaguzi huu mdogo wa 2024, pia waliokatwa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Ni kisa kinachosikitisha sana. Lakini kina uhusiano mkubwa sana na namna viongozi wanavyopaswa kusikiliza maoni ya wanaowaongoza! Mara nyingine dreva huchoka. Na pia kuna wakati dreva hupata na...
1 Reactions
0 Replies
421 Views
Mkutano wa Chadema pale Shinyanga Mjini haukuwa na msisimko kwa sababu mambo waliyoongea yalikuwa yanajirudia Mambo ya DP World yameshawasilishwa kwa Wananchi kwa upana sana kupitia Waraka wa...
10 Reactions
45 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Uongozi unatoka kwa Mungu,huyo ndiye awezaye kumuinua mtu na kumpa madaraka,huyo ndiye humpa kibali mtu akakubalika ,kuungwa mkono na kupendwa na watu,huyo ndiye...
3 Reactions
130 Replies
6K Views
Ikiwa kama mwananchi napendekeza serikali kulitoa shirika la Tanesco kwa wawekezaji sababu imeshindwa kusimamia upatikanaji wa umeme wa uhakika. Umeme kwetu unakatika si chini ya mara 8 kwa siku...
5 Reactions
47 Replies
2K Views
  • Closed
Hili suala la Bandari naona baadhi yenu mmelibeba katika namna fulani ya UDINI, kila nikimuangalia kiongozi wangu wa KIISLAM akisimama mahali analizungumzia katika upande wa UDINI. Sikilizeni...
73 Reactions
200 Replies
14K Views
Back
Top Bottom