Mdude Nyagali atangaza tarehe ya Maandamano nchi nzima

Nov 23, 2018
49
87
Nimeona barua ya tarehe ya leo 9 /20/2023 liyoandikwa na Mdude Nyagali maarufu kama Mdude Chadema ya kuitisha Maandamano nchi nzima kuanzia 9 Novemba, 2023 kupinga Mkataba wa Bandari na kudai Katiba Mpya.

Baada ya kusoma barua hiyo nimegundua kuwa kijana hajajiandaa kwani hata barua yenyewe ina makosa kibao hasa ya kiuandishi kwa kuchanganya herufi kubwa na ndogo isivyo sahihi. Pia anaonekana ametengwa na viongozi wenzie wa CHADEMA maana jana alidai polisi walizuia mkutano wao kwa kuwa CHADEMA walilalamika kutumiwa wimbo wao.

Je, atafanikiwa? Time will tell.

FB_IMG_1696863074907.jpg
 
Anajifurahisha tu huyo. Walishindwa CDM na operation yao ya UKUTA na kipindi hiko wakiwa kwenye peak ataweza huyo mwehu wa Songwe. Nani kwani humu duniani anamjua? Maandamano ya Twitter? Pumbavu kabisa.
 
Hawa jamaa naona wako serious, mdogomdogo tu,unashangaa watu wanatolea hasira zao happy kwenye matukio ya aina hii.
 
Back
Top Bottom