Kwa uongo huu, Lissu amefeli pakubwa

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
295
679
Kuna ujumbe unaosambazwa katika makundi ya WhatsApp na wanachama wa Chadema Jimbo la Namtumbo unaodai kuwa nabii THABO MASENYA wa nchini Afrika Kusini ametoa unabii wake unaodai kuwa Lissu ameandaliwa mpango wa kuuwawa.

Jambo hili ni upotoshaji wa makusudi unaofanywa na Lissu pamoja na kikundi chake cha watu wachache ndani ya
CHADEMA kwa lengo la kumtetea Lissu kwa kitendo chake cha kutoshiriki mikutano ya hadhara kanda ya nyasa inayotarajiwa kuanza tarehe 13/10/2023.

Lengo la kusambazwa kwa ujumbe huo ni kuwaaminisha wananchi na wanachama wa chadema kuwa Lissu hatoshiriki mikutano hiyo kwa kuwa yuko nje ya nchi kwa ajili ya kujiokoa na mpango wa kuuwawa.

Ijulikane kuwa Lissu ana uraia wa nchi mbili, Tanzania na Ubelgiji. Hivyo ana watumikia mabwana wawili yaani Chadema na pamoja na wazungu waliompatia uraia kwa maslahi yao binafsi. Tunajua ni vigumu kuwatumika mabwana wawili.

Lissu yupo nje ya nchi kwa ajili ya kwenda kuchukua maelekezo ya mabwana zake hususan yale ya kutumwa kurejea nchini na kuendelea kuendesha siasa zinazochochea vurugu, baada ya zile siasa zake za awali kugonga mwamba kabla ya kuamua kuondoka nchini.

Lissu hawezi kudhuriwa akiwa nchini kwa kuwa Serikali ilimuhakikishia usalama wake. Hata hivyo, katika kipindi chote alichofanya mikutano ya hadhara ambayo iliyojaa upotoshaji, kuchochea vurugu na kuwatusi viongozi wa Serikali lakini hakuna hata chembe ya dalili ya tukio la kujaribu kumuua lililofanyika.

My take kwa Chadema

Chadema kuweni makini na Lissu pasi na shaka hayuko pamoja nanyi katika kukikuza na kukiimarisha chama chenu kwa kuwa amefikia hatua ya kutoa sababu za uongo ili asihudhurie mikutano yenu.

Lissu siyo mwenzenu hii iko wazi kwa kuwa amekuwa akiendesha siasa za vurugu tofauti na siasa zinazofanywa na mwenyekiti wake Mbowe. Hii inaonesha wazi kuwa hatahudhuria mkutano huo ikiwa ni mpango wake wa kupinga siasa za Mbowe.

My take kwa Watanzania

Watanzania wenzangu tumpuuze Lissu. Tuendelee kudumisha Amani na Umoja wetu.
 
Kwa hiyo na Maza akiwa nje ya nchi anakwenda kuchukua maelekezo ya........…............. zake!?
 
IMG_4468.jpg
 
Hivi wakuu mnaonaje kuhusu tatizo la Upungufu wa Umeme walilokuwa wanalihubiri Makambe na Maharagwe, mbona kama sasa linaisha? Hivi kwa nini walipokuwepo ofisini kukawa na upungufu wameondoka umeme umeanza kutosha, je hawa jamaa walikuwa wanakunywa umeme wetu?
Kwenye issue ya mafuta, itakuwa hawa jamaa bado wanatunywa kisirisiri, tufanyeje kumsanua mazeli ili aingilie kati?
 
Lisu hana jipya la kuwapa watanzania
 
Hawa watu hasa makamba ni hatari sana kwa ustawi wa taifa hili
 
Andiko lako linamtuhum na hapo hapo unamtetea😆😆
 
Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom