Maoni hayo yametolewa na Viongozi wa TEC waliopata nafasi ya kutoa maoni yao mbele ya Kamati ya Haki Jinai.
Wacha Mungu hao wamefunguka mbele ya Tume hiyo iliyo chini ya Jaji Mstaafu Othman...
Kutofanyiwa kazi matatizo ya upatikanaji wa maji safi Dar es Salaam; Tunamtaka Waziri wa Maji kuiwajibisha DAWASA.
Utangulizi
Kwa muda wa miezi miwili Chama cha ACT Wazalendo kupitia Waziri...
Habari wana JamiiForums.
Rejea kichwa cha habari chahusika.
Lengo la kuandika uzi huu ni kutoa maoni yangu juu ya wanaopinga mkataba kati ya DPW na serikali yetu ya Tanzania.
Kwa maoni yangu...
Kwa Muda mfupi Wakili msomi Kajunjumele Mwabukusi ameonekana kuwa na harakati na Ujasiri usiozoeleka sana bongo
Nilipochimba historia ya Hii clan nikagundua ni zao la Mwamakula Kingdom
Utawala...
Serikali na Bunge imeonekana mna nia kabisa na ili dubwasha la DP World mliendeleze bila kujali wananchi wanasemaje!
Basi mimi nawaomba kwa dhati kabisa Rais Samia Suluhu uondoe kinga ya...
Nimemsikiliza huyu aliyewahi Kuwa sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, almaarufu Alhad Mussa Salum.
Amekuja na tamko la hiyo wanayojiita kamati ya maridhiano na amani. Anaongea kinafiki, akiomba...
Serikali yetu inapitia Changamoto pia ya Kuwa na Viongozi ambao hawajui dhamana yao, kazi zao, wajibu wao, lengo la kuwa eneo hilo.
Hawajui namna ya kuishi na Raia ambao 2025 utarudi tena kwao...
Taarifa iliyovuja inadokeza kwamba Mikutano ya Chadema ya Oparesheni 255 Kanda ya Serengeti , iliyopangwa kuzinduliwa kesho 25/08/2023 Shinyanga Mjini imepangiwa kuhujumiwa kwa kupiga Mabomu , na...
Mjumbe wa Baraza la Jumuiya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UWT Taifa, Mhandisi Fatma Rembo akizungumza na Wanawake wa Mafinga Mji, Iringa amewaomba...
Akihojiwa na DW amesikika Dkt Slaa:
"Alipokamatwa akishtakiwa kwa uhaini alijiandaa kwa kifungo cha maisha na hata kunyongwa.".
Ameendelea Slaa: "kutamka au kuwaondoa wasiowasikiliza wananchi...
TAARIFA JUU YA SUALA LA KUHAMISHA WAFUGAJI WA JAMII YA MAASAI KATIKA HIFADHI YA NGORONGORO
UTANGULIZI
Ndugu Wanahabari,
Ngorongoro ni eneo la shughuli mtambuka. Kiutawala ni Tarafa mojawapo ya...
Na Lukumay M.
Ufinyu wa taarifa sahihi ni janga jipya katika Dunia ya sasa. Wanasiasa wanautumia mwanya huu kubeba ajenda zao binafsi bila kuzingatia ukweli. Kwanza kabisa niweke wazi mimi ni...
Chama cha Mapinduzi Taifa au Mkoa ninawaomba mfanye uchunguzi wa kina kama sio utafiti kumwangalia au kumfuatilia Katibu wa CCM Wilaya ya Hai Kilimanjaro., kama kweli hajui kuandika.
Kuna kila...
Wakili Mwabukusi ( Mayweather ) ambaye ni miongoni mwa Watetezi Wakubwa wa Mali za Nchi, akizungumza kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari leo Julai 12, 2023, amempa siku 7 tu Mkuu wa Mkoa wa...
Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba PhD ameiomba kampuni ya Huawei kuwekeza Tanzania kwenye Mifumo ya teknolojia itayoboresha Ukusanyaji wa Mapato ya Serikali
Mwigullu amesema Mifumo ya...
Wachambuzi wa masuala ya uchumi na diplomasia wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kuhudhuria mkutano wa mataifa matano tajiri (BRICS), wakisema kitendo hicho kinaimarisha uhusi-ano wa kimataifa...
Malasusa alishamaliza two terms za uaskofu Mkuu, baada ya mabadiliko ya katiba amegombea tena uaskofu Mkuu; je ana jambo jipya kwa taasisi hii yenye watu zaidi ya milioni nane NCHINI?
Endapo...
Tamasha la pili la Utamaduni Kitaifa limeanza leo Agosti 25, 2023 katika viwanja vya Stendi ya zamani mkoani Njombe likipambwa na burudani kutoka vikundi mbalimbali vya ngoma kutoka Mikoa...
Asalaam ndugu zangu Watanzania. Nimeona nililete mbele yenu jambo hili ili tupaze sauti zetu kwa Serikali iweze kuingilia kati jambo hili.
Nimesoma kwenye gazeti kwamba makampuni yanayo agiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.