Dr. Slaa na Buberwa wakamatwa na jeshi la polisi mkoani Mbeya kosa kufanya mkusanyiko usio halali

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Ni kwamba jeshi la polisi mkoani mbeya linawashikilia aliyekuwa balozi wa tanzania nchini Sweeden Dr. slaa na mwenzake Buberwa kwa kosa la kufanya mikusanyiko isiyo halali. wengine ni Mwabuksi pamoja na kijana maarufu aitwaye MDUDE NYANGALI

Kutokana na taarifa ya jeshi la polisi mkoani mbeya kupitia barua yao ,mwabuksi na wenzake inatakiwa waripoti ofisi ya mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai mkoa wa mbeya mda wa saa nane mchana leo tarehe 09/10/2023 .kwa mahojiano zaidi.

FB_IMG_1696850056373.jpg
 
Jeshi la polisi linaendelea kukamatakamata wazalendo wa nchi hii wanaotoa elimu kuhusu mkataba wa bandari na katiba mpya
Screenshot_20231009-142040.jpg
 
Ni kwamba jeshi la polisi mkoani mbeya linawashikilia aliyekuwa balozi wa tanzania nchini Sweeden Dr. slaa na mwenzake Buberwa kwa kosa la kufanya mikusanyiko isiyo halali. wengine ni Mwabuksi pamoja na kijana maarufu aitwaye MDUDE NYANGALI

Kutokana na taarifa ya jeshi la polisi mkoani mbeya kupitia barua yao ,mwabuksi na wenzake inatakiwa waripoti ofisi ya mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai mkoa wa mbeya mda wa saa nane mchana leo tarehe 09/10/2023 .kwa mahojiano zaidi.

View attachment 2776790
Watajuana wao Kwa wao tuko busy na Hamas vs Israel

View: https://twitter.com/fbuyobe/status/1711337904180510885?t=Nf_JqD0Y_gpnT670VGyMzA&s=19
 
Ni kwamba jeshi la polisi mkoani mbeya linawashikilia aliyekuwa balozi wa tanzania nchini Sweeden Dr. slaa na mwenzake Buberwa kwa kosa la kufanya mikusanyiko isiyo halali. wengine ni Mwabuksi pamoja na kijana maarufu aitwaye MDUDE NYANGALI

Kutokana na taarifa ya jeshi la polisi mkoani mbeya kupitia barua yao ,mwabuksi na wenzake inatakiwa waripoti ofisi ya mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai mkoa wa mbeya mda wa saa nane mchana leo tarehe 09/10/2023 .kwa mahojiano zaidi.

View attachment 2776790
Kuna tatizo! as long as hakutoa taarifa (siyo kuomba ruhusu), unatoa taarifa, unaendelea na mkutanio.....utawashinda kwenye mahakama za haki. Bila hivyo watakushinda maana hukutoa taarifa......
 
Ni kwamba jeshi la polisi mkoani mbeya linawashikilia aliyekuwa balozi wa tanzania nchini Sweeden Dr. slaa na mwenzake Buberwa kwa kosa la kufanya mikusanyiko isiyo halali. wengine ni Mwabuksi pamoja na kijana maarufu aitwaye MDUDE NYANGALI

Kutokana na taarifa ya jeshi la polisi mkoani mbeya kupitia barua yao ,mwabuksi na wenzake inatakiwa waripoti ofisi ya mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai mkoa wa mbeya mda wa saa nane mchana leo tarehe 09/10/2023 .kwa mahojiano zaidi.

View attachment 2776790
Wanyongwe haraka
 
Jeshi la polisi linaendelea kukamatakamata wazalendo wa nchi hii wanaotoa elimu kuhusu mkataba wa bandari na katiba mpyaView attachment 2776794
Jeshi la polisi linaweza kuwa limekosea lakini huyu Slaa hatakiwi kupewa hadhi ya uzalendo hata mara moja.Ni mfitini na katili mno.Yaani inaniuma sana nikikumbuka maneno aliyoyatamka kuhusu Tundu Lisu nyakati za mwendazake.
 
VP ALIKUCHUKULIA MCHUMBA?kwhyo huyo tundu lisu ndyo unamwamini?OGOPA SIASA NA MWANASIASA WOTE NI WAONGO,
 
Hapana mkuu,
Huyu mzee kiukweli nilimtia kwenye list of shame baada ya matamshi yake yalokosa utu na ubinadamu labda kama huna kumbukumbu kwa kauli zake hadi akapewa na ubalozi. Hata kama nisimwamini Tundu Lisu bado haiwezi kuwa sababu ya kumuona Slaa kuwa ni mzalendo big NO.Labda kwa watu wasahaulifu wa matukio ya 2016 to 2020 hapa Tanzania.

Niko pamoja na wewe hapo ulipomalizia sentensi yako ya mwisho.
 
Back
Top Bottom