Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahaman Kinana, amesema 2025 njia itakua nyeupe kwa chama hicho kushika Dola kwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya makubwa...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Alianza Ben haijulikani alipotea au alipotezwa akaibuka Mdude. Mdude akadhibitiwa kwa tahadhari kubwa sana Lakini akashindikana na amekuwa Sugu zaidi. Ghafla kaibuka Mwabukusi katika Mfumo...
3 Reactions
5 Replies
978 Views
Akiwa jijini Dar es Salaam, Manispaa ya Ubungo, Ndugu Kawaida ambaye ni Mwenyekiti wa UVCCM Taifa amerekodiwa akisema CCM ndiyo iliyopigania uhuru na pia imehusika na mapinduzi ya Zanzibar. Na...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Dar es Salaam, Agosti 23, 2023 – Katika Mkutano wa kujadili demokrasia ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Hamad M. Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF na Waziri wa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Tanzania huenda ikatumia gharama kubwa kugharimia deni la Taifa, ikiwa ni miongoni mwa athari zinazosababishwa na kuongezeka kwa thamani ya Dola ya Marekani dhidi ya Shilingi. Hali hiyo ina...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wanaJF wenzangu? Ndugu zangu.. binafsi nimekuwa msikilizaji, mfuatiliaji, mtafiti na mchunguzaji wa kila kilichopo au kinachotokea katika nchi yetu. Katika kusikiliza...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Huu uzi wangu simple&clear Hauna maneno mengi ila ni kuwajulisha wale wote wenye imani na viongozi walio hapa nchini. Kiukweli kama taifa hapa Tanzania hatuna kabisa viongozi wa kuipeleka hii...
18 Reactions
44 Replies
3K Views
Waziri wa Nishati, January Makamba yuwapi kwasasa? Sehemu kubwa ya nchi haina umeme mpaka mida hii. Waziri amekaa kimya? Sawa najua TANESCO walitupa taarifa asubuhi, lakini kwa uzito wa suala...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Mods tafadhari msiunganishe huu uzi/barua wala kuufuta haya ni maonyo ya wazi kwa rais wetu mpendwa SASHA. Niende moja kwa moja kwenye dhima ntawasalimu baadae wakubwa. Kama ilivyo desturi leo...
21 Reactions
56 Replies
5K Views
Nape hana sifa kabisa za kuwa waziri wa Habari ni basi tu Taifa limejaaa kubebena tu, Nape ni mtu asio taka kukusolewa kabisa kwa aina yoyote ile, Huyu ni waziri w a habari wa Tanzania. Yaani...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Kuna dhana mashehe na baadhi ya watu kuwa DP World inapingwa sababu ya udini kwani eti ni waarabu. Lakini mbona miradi kama Bwawa la mwalimu Nyerere unaojengwa na Arab Contractors ya Misri...
18 Reactions
49 Replies
3K Views
Tanzania na Cuba zimekubaliana kushirikiana na kuimarisha misingi ya kisiasa, ujengaji wa uwezo kwa wanasiasa vijana, sekta za elimu, afya, utalii, biashara na uwekezaji Hayo yamebainishwa na...
0 Reactions
1 Replies
776 Views
Nawaza nje ya box...CCM ni ileile. CCM ni waoga sana kutoka madarakani, inapokuja hoja inayotishia uwepo wao madarakani watafanya lolote hata ikibidi kudhulumu ili wabakie. Wakati CUF...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika vyama vya Kiafrika vinavyodharau Wanachama wake , basi ccm inaongoza kwa mbali sana , Pamoja na chama hicho kuwa na wanachama wengine huko Mbarali , lakini chama hicho kimeamua kuwadharau...
33 Reactions
85 Replies
6K Views
PAPA FRANCIS ALISEMA: "Fikiria mama asiye na mume anayeenda kanisani au parokiani, na kumwambia katibu: NATAKA KUBATIZA MWANANGU, na mhudumu anasema: 'Hapana, huwezi, kwa sababu hajaolewa..."...
1 Reactions
7 Replies
951 Views
Mtanzania Omari Hussein amemtaka Rais Jakaya Kikwete kumuacha Rais Samia Suluhu aongoze nchi kwa hekima zake hasa kushughulikia kashfa kubwa inayolikabili taifa kwa sasa ya mkataba wa Bandari na...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili uwanja wa ndege wa Waterkloof Air Force Base, Pretoria,nchini Afrika Kusini usiku wa kuamkia leo nakulakiwa na viongozi mbalimbali akiwemo Balozi wa Tanzania...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbas amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa filamu ya Royal Tour ambayo mpaka sasa imetazamwa na...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
MAONI YA SHEIK KIPOZEO Naona watanzania, Taifa taratibu taratibu linaanza kujivua ile heshima lililoivaa siku zote. Tumejitia upofu wa kuikimbia hoja na UKWELI, tukajikita katika kudadavua nani...
22 Reactions
34 Replies
7K Views
Rais Hussein Mwinyi amekuwa ni mgeni rasmi katika Mkutano wa Kitaifa wa wadau kujadili hali ya demokrasia nchini kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji 2024 na uchaguzi mkuu...
0 Reactions
2 Replies
690 Views
Back
Top Bottom