Kilele cha ziara ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) mkoa wa Morogoro kwenye wilaya ya Morogoro Mjini

Oct 8, 2023
37
17
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Morogoro NDG ROSSE RWAKATARE akikabidhi zawadi kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Morogoro Mjini NDG SALMU KIPIRA pamoja na kaimu katibu wa Jumuiya hiyo NDG SABREENA JUMA.

Ndg Rosse Rwakatare (Mwenyekiti) kwenye wilaya zote za mkoa wa Morogoro wakati wa ziara yake amekabidhi vifaa vya michezo (Mipira na Jezi) kila kata kwenye wilaya zote, Amekadhi Kadi za Jumuiya za wazazi (kadi 500) kila wilaya vilevile amechangia miradi yote ya Jumuiya inayoendelea kwenye Wilaya zote ikiwemo ujenzi wa nyumba za Makatibu wa Jumuiya kila Wilaya kwenye mkoa wa Morogoro.

IMG_20231008_145429_827.jpg
IMG_20231008_145429_827.jpg
IMG_20231008_143537_568.jpg
 
Back
Top Bottom